Josephati Shirima
New Member
- Aug 29, 2024
- 1
- 0
Dar kuna joto linalosumbua sana
Dar kuna jua kali sana linakera
Dar kuna M'mbu ambao wanakera usiku mzima
Dar kuna Kero ya Foleni muda ambayo inakufanya uchukue mda mrefu kwenda mahali
Dar maeneo mengi yananuka sana hasa zaidi kwenye mitaro
Dar kuna Mchwa wengi sana hata usizio wa miti baada ya muda ishaliwa yote
Dar ardhi yake inashika maji haraka na kuwahi kuyapoteza
Barabara nyingi za Dar mvua ikinyesha kidogo tu azipitiki na hata zinazopitika unapita kwa shida na hati hati yakuanguka ukiwa kwa mguu au kwenye pikipiki