Jiji la Dar limenishinda kuishi. Wengine mnawezaje au mnajikaza?

Dar es salaam ni chungu au tamu kulingana na uchumi ulionao.
Ukiwa hoehae lazima upachukie. Lakini ukiwa vizuri utaishi kama peponi hii haina kisingizio au blablaa
Kama hujawahi kutoka nje ya Tz una haki ya kusema ivo
 
watu wanawekeza sababu no way out, ila miundombinu ya uwekezaji na biashara = 0
Sio kuwekeza tu,kuna watu kibao wana uwezo wa kwenda kuishi mji wowote duniani ila wapo Dar and they are happy. Wewe kupita nje ya nchi miaka miwili tu basi unaanza kuponda Dar utafikiri teenager aliekulia Kent.
Tanzania kubwa sana kuna miji na wilaya nyingi nje ya Dar hamia huko tu ila usifikiri kila anaeishi Dar ni kwasababu hana option.
 
hili ni jukwaa huru mkuu kila mtu ana maoni yake😁 , personal attack and the like sio vitu vyangu.

Peace 🇹🇿🇹🇿
 
hili ni jukwaa huru mkuu kila mtu ana maoni yake😁 , personal attack and the like sio sio vitu vyangu.

Peace 🇹🇿🇹🇿
Hakuna personal attack mkuu. The way unaandika mtu anaweza kufikiri umekuja Tz ukubwani au umekaa nje miaka 50 ndio ukaja Tz. Na unadiriki kusema mtu watu wanawekeza Tz kwasabbau no way out seriously?
 
Mambo yasiwe mengi mkuu, Tanzania ni nchi yangu ila kuna uozo mwingi sana kuanzia personality zetu sisi raia na serikali isiokua na nyuma wala mbele so hamna kitu utanambia nikakuelewa japokuwa najitaidi sana kukubali kutokukubaliana.

em jaribu kuwa honest, miundombinu ya Dar na hali ya usafi unaichukuliaje ukilinganisha na hadhi ya jiji kwa hapa Tanzania? sijajua kwa upande wako ila mimi nimefanya biashara kariakoo muda mrefu tu, unajua kadhia ya kodi wafanyabiashara wanakumbana nazo apo Kariakoo/Dar kwa ujumla mkuu? watu tulidiriki mpaka kugoma lkn mpaka hivi leo hali iko vilevile ndo maana nmeconclude kuwa watu wanawekeza sababu hawana namna
 
Ukianza kuona kero za kelele na purukushani zinakupa stress ujue umeanza kuzeeka ni muda muafaka kuhamia nje ya mji au mkoani kwenye wilaya tulivu au shambani kabisa. Huu ni uzoefu wangu.
Huyu kazeeka tu apunguze ujuaji.

Kule zenj Kuna sehemu zinaitwa shamba, Nafikiri ndio maana kapapenda huko

Kwa mtu aliyewahi kuishi dar na hela zisiwe shida kwake, basi huwezi kuhama kwenda mkoani bali kwenda majiji makali zaidi duniani kama New York n.k
 
Sawa mkuu ntazisaka, em nielezee ni sehemu nzuri kivipi sababu nimekaa dsm zaidi ya miaka mitano lkn nkaona jau hadi serikali yenyewe iliamua kupakimbia.
Kwa dar kadiri kipato chako kinavyokuwa ndio baadhi ya sehemu unaanza kuzijua kama zipo na nyingine kujisahau.

Kuwa na hela nyingi kwanza ndo utajua kuwa dar hakuna kelele
 
Huyu kazeeka tu apunguze ujuaji.

Kule zenj Kuna sehemu zinaitwa shamba, Nafikiri ndio maana kapapenda huko

Kwa mtu aliyewahi kuishi dar na hela zisiwe shida kwake, basi huwezi kuhama kwenda mkoani bali kwenda majiji makali zaidi duniani kama New York n.k
Kwaiyo unashauri nirudi tena Dar kuzisaka pesa mkuu au vipi
 
Kitu kingine hata hiyo miaka miwili ambayo unatuambia umeishi dar ni uongo wewe inaonekana ulipita tu umekuja kuanzisha uzi humu.
Inatia mashaka hata Google map hujui kutumia hadi unalipishwa 35 kwenda kule geza nadhani ni kule kwa mchina.
Inasikitisha sana na exposure ambayo unasema unayo ya kusafiri nchi za njee
 
Sawa mdogo wetu, hujakosea
 
Mambo yasiwe mengi mkuu, Tanzania ni nchi yangu ila kuna uozo mwingi sana kuanzia personality zetu sisi raia na serikali isiokua na nyuma wala mbele so hamna kitu utanambia nikakuelewa japokuwa najitaidi sana kukubali kutokukubaliana.

em jaribu kuwa honest, miundombinu ya Dar na hali ya usafi unaichukuliaje ukilinganisha na hadhi ya jiji kwa hapa Tanzania? sijajua kwa upande wako ila mimi nimefanya biashara kariakoo muda mrefu tu, unajua kadhia ya kodi wafanyabiashara wanakumbana nazo apo Kariakoo/Dar kwa ujumla mkuu? watu tulidiriki mpaka kugoma lkn mpaka hivi leo hali iko vilevile ndo maana nmeconclude kuwa watu wanawekeza sababu hawana namna
Dar kama jiji lina changamoto kama majiji mengi ya Afrika yalivyo. Kuna the good,the bad and the ugly side.
 
Kitu kingine hata hiyo miaka miwili ambayo unatuambia umeishi dar ni uongo wewe inaonekana ulipita tu umekuja kuanzisha uzi humu.
Inatia mashaka hata Google map hujui kutumia hadi unalipishwa 35 kwenda kule geza nadhani ni kule kwa mchina.
Inasikitisha sana na exposure ambayo unasema unayo ya kusafiri nchi za njee
Usikute hata dar yenyewe na hiyo "nchi za nje" hajafika zaidi ya story tu za mitandaoni

Ila JF bana😅😅
 
Sio lazima uzisakie dar, ile ukiwa dar hakikisha pesa sio shida zako tena ndo utakuja kujua dar ni pepo ndogo tu
Najua mkuu, we unafikiri kwann huwa narudi kula bata? Ni vile tu kuna muda uvumilivu unanishinda nikiwa natoka au naenda iyo sehemu ya bata yenyewe
 
Back
Top Bottom