MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
- #41
Mabonde KuinamaSamahani mkuu....
Kwani umetokea kijiji gani...🤔
Mabonde KuinamaSamahani mkuu....
Kwani umetokea kijiji gani...🤔
hakikaMamilioni au sio. Mmeshakunywa chai hapo kwa shemeji yako?
Au dada bado anajizungusha na wewe tumbo linaunguruma kama watalibani wanarushiana nyukiliahakika
ninawaza mashemeji waanze kupewa ruzuku na serikali maana wanaupiga mwingi.
kwani wewe dada yako ni jobless hadi anapata muda wa kujizungusha zungusha ?Au dada bado anajizungusha na wewe tumbo linaunguruma kama watalibani wanarushiana nyukilia
Bro hebu onja hiyo sumu, tuone ka inauaDawa ya mende kunguni viroboto"
Pata laini ya halotel Vodacom Airtel na vocha buuure kabisa
Ikiwa jiji Dogo kama Dar linakupa shida je utaweza survive New York n.kkwaiyo unataka kusema izo kero hazipo? Anyway
Ukianza kuona kero za kelele na purukushani zinakupa stress ujue umeanza kuzeeka ni muda muafaka kuhamia nje ya mji au mkoani kwenye wilaya tulivu au shambani kabisa. Huu ni uzoefu wangu.Ugonile,
Ni muda kidogo (kwa zaidi ya miaka miwili) sikuwa Tanzania, ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda, nikaamua kutimkia mkoani. Kabla ya kutimkia nchi za wenzetu riziki yangu nilikuwa naitaftia Kariakoo kwa zaidi ya miaka mitano, niseme tu ukweli nilikua najikaza sana kuishi kwenye hilo jiji.
Kero yenyewe ni makelele na hali ya hewa, aisee Dar kuna purukushani za kufa mtu, uswahili mwingi, miundombinu mibovu, ukienda maeneo ya soko kama Kariakoo, Mbagala, Tandika kuna makelele mpaka unatamani uzibe masikio!
Bodaboda wanaendesha hovyo kama wapo kwenye mashindano ya vichaa muda wowote usipokua makini wanakukwatua, maofisini hakuendeki sababu ya queues zisizoisha, hospitali ndio usiseme, foleni barabarani mpaka unajuta kuwa road.
Kwa sasa Dar naichukulia kama sehemu ya kuja kulia Bata tu, nimekua nikijikaza kuja mara mojamoja ila huwa nikifikia Hotelini sitoki au nikiboeka navuka zangu maji kwenda Zenji ila sio kukaa Dar, imagine tangu niondoke Kariakoo nakaribia mwaka wa tatu sasa sijawahi kurudi. Kila nikifikiria yale makelele naishiwa pawa!
Nyie mnaoishi Dar miaka yote iyo mnawezaje au ndio mnajikaza? Mmewahi kufikiria kuishi mikoani muone maisha yalivokua matamu?😁
Chukulia mfano watu wa ukanda wa Gaza, Mbagala, Chanika, Kigamboni aisee Mungu awasaidie.
Sasa hivi napanga kujenga kwa Mama Abduli, wale mnaoshadadia Muungano uvunjike acheni izo 🫵
Sawa mkuu ntazisaka, em nielezee ni sehemu nzuri kivipi sababu nimekaa dsm zaidi ya miaka mitano lkn nkaona jau hadi serikali yenyewe iliamua kupakimbia.Mkuu amka kasake doo, DSM ni sehem nzuri Sana kama una pesa
Ni kweli kabisa hujakosea.Sema huna hela tu
ukiwa kwenye sgr au gari lolote lenye Ac, ukifika dar ukashuka tu, unaanza kuona jinsi hali ya hewa ilivyokuwa chafu ya huo mji wenu.Ugonile,
Ni muda kidogo (kwa zaidi ya miaka miwili) sikuwa Tanzania, ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda, nikaamua kutimkia mkoani. Kabla ya kutimkia nchi za wenzetu riziki yangu nilikuwa naitaftia Kariakoo kwa zaidi ya miaka mitano, niseme tu ukweli nilikua najikaza sana kuishi kwenye hilo jiji.
Kero yenyewe ni makelele na hali ya hewa, aisee Dar kuna purukushani za kufa mtu, uswahili mwingi, miundombinu mibovu, ukienda maeneo ya soko kama Kariakoo, Mbagala, Tandika kuna makelele mpaka unatamani uzibe masikio!
Bodaboda wanaendesha hovyo kama wapo kwenye mashindano ya vichaa muda wowote usipokua makini wanakukwatua, maofisini hakuendeki sababu ya queues zisizoisha, hospitali ndio usiseme, foleni barabarani mpaka unajuta kuwa road.
Kwa sasa Dar naichukulia kama sehemu ya kuja kulia Bata tu, nimekua nikijikaza kuja mara mojamoja ila huwa nikifikia Hotelini sitoki au nikiboeka navuka zangu maji kwenda Zenji ila sio kukaa Dar, imagine tangu niondoke Kariakoo nakaribia mwaka wa tatu sasa sijawahi kurudi. Kila nikifikiria yale makelele naishiwa pawa!
Nyie mnaoishi Dar miaka yote iyo mnawezaje au ndio mnajikaza? Mmewahi kufikiria kuishi mikoani muone maisha yalivokua matamu?😁
Chukulia mfano watu wa ukanda wa Gaza, Mbagala, Chanika, Kigamboni aisee Mungu awasaidie.
Sasa hivi napanga kujenga kwa Mama Abduli, wale mnaoshadadia Muungano uvunjike acheni izo 🫵
Dar hakufai mkuu, jana nlikuja mida ya mchana na Private kwa lengo la kutafuta hotel ya kufikia nipange ratiba zangu za viwanja hali ya hewa na makelele vikanishinda ikabidi tu nivuke majiukiwa kwenye sgr au gari lolote lenye Ac, ukifika dar ukashuka tu, unaanza kuona jinsi hali ya hewa ilivyokuwa chafu ya huo mji wenu.
Yeah ,nje ya mji ni pazuri kuishi ,hakuna heka heka...epuka kuishi kwenye skwata huko uswahili mwingi.mimi nataka siku nikija dar niwe naishi Bagamoyo, na siktaki usumbufu wowote kutoka kwa yoyote.
Hapo tatizo ni SISIEMU sasa ndiyo wameshindwa kuboresha miundombinu ,ila nimeona washaanza kuondoa vispika k/koo.Shida sio kupanga Mbweni, kero zinaanza punde tu unapotoka apo kwako Mbweni kwenda sehemu nyingine
mimi ni mswahili bossYeah ,nje ya mji ni pazuri kuishi ,hakuna heka heka...epuka kuishi kwenye skwata huko uswahili mwingi.
Sasa mbona bado hujajenga,ukimaliza tu niambie mie nakujaNjoo tuishi zetu kwa mama kizimkazi
Get your money right na utaona sehem nzuriSawa mkuu ntazisaka, em nielezee ni sehemu nzuri kivipi sababu nimekaa dsm zaidi ya miaka mitano lkn nkaona jau hadi serikali yenyewe iliamua kupakimbia.
New York kuna hekaheka gani mkuu zinazoizidi Dar? Hekaheka anazozungumzia jamaa ni zile ambazo zipo kwenye big cities za kwenye informal economies kama Tz: e.g. foleni, kugombania seat kwenye daladala, wamachinga kila mahali, biashara ya ngono, joto, etc. Haya yote ni karibu hayapo kabisaa NY. Kitu pekee NY inaizidi Dar in terms of hekaheka labda ni biashara ya madawa ya kulevya na gun violence.Ikiwa jiji Dogo kama Dar linakupa shida je utaweza survive New York n.k