Uchafu umezidi. Kama hakuna serikali vileJoto, vibaka, purukushani, Dar ni noma!
New York kuna hekaheka gani mkuu zinazoizidi Dar? Hekaheka anazozungumzia jamaa ni zile ambazo zipo kwenye big cities za kwenye informal economies kama Tz: e.g. foleni, kugombania seat kwenye daladala, wamachinga kila mahali, biashara ya ngono, joto, etc. Haya yote ni karibu hayapo kabisaa NY. Kitu pekee NY inaizidi Dar in terms of hekaheka labda ni biashara ya madawa ya kulevya na gun violence.
Mimi sio mgeni Dar mkuu, hekaheka ni nyingi sana af sio vitu vyanguGet your money right na utaona sehem nzuri
Tunajenga mdogomdogo muda huo tunahama HoteliSasa mbona bado hujajenga,ukimaliza tu niambie mie nakuja
Sawa investor mwenye millions zake KKookwani wewe dada yako ni jobless hadi anapata muda wa kujizungusha zungusha ?
mimi dada yangu hata huo muda wa kujizungusha huwa hapati.
Ndo mambo ninayoyapenda Sasa 💃💃💃💃Tunajenga mdogomdogo muda huo tunahama Hoteli
Sawa investor mwenye millions zake KKookwani wewe dada yako ni jobless hadi anapata muda wa kujizungusha zungusha ?
mimi dada yangu hata huo muda wa kujizungusha huwa hapati.
Nani kazungumzia ishu ya kusurvive mkuu, tunaongelea suala zima la kuishi na ustawi wa mwanadamu. Dar ni sehemu ya hovyo sana kama vile serikali hamna, miundombinu inatia kinyaa. Haifai ata kwa mtu anaejitafuta maana hamna rangi ataacha kuona labda atumie njia mbadalaBado Dar ni jiji Dogo halina hela heka zozote za kukufanya uone ni pagumu ku-survive.
😂😂😂Joto, vibaka, purukushani, Dar ni noma!
😂😂😂😂Ukiachana na joto na foleni hakuna kingine kinachonisumbua. Yaani kelele hazinipi shida hadi natamani hata nihamie mburahati kwenye vigoma kila dakika.
Maisha ni kuchagua
😂😂😂😂Dawa ya mende kunguni viroboto"
Pata laini ya halotel Vodacom Airtel na vocha buuure kabisa
😁 ahadi yangu si unaikumbuka bado au ushalewa chai ya mdalasini na iliki?Ndo mambo ninayoyapenda Sasa 💃💃💃💃
Nani kazungumzia ishu ya kusurvive mkuu, tunaongelea suala zima la kuishi na ustawi wa mwanadamu. Dar ni sehemu ya hovyo sana kama vile serikali hamna, miundombinu inatia kinyaa. Haifai ata kwa mtu anaejitafuta maana hamna rangi ataacha kuona labda atumie njia mbadala
Dar kwanza haina hata hadhi ya kuitwa jiji ni basi tu, vuka ng'ambo ujionee majiji jinsi yalivopangiliwa kwa utulivu.
Iko palepale hakuna kinachobadilika😁 ahadi yangu si unaikumbuka bado au ushalewa chai ya mdalasini na iliki?
watu wanawekeza sababu no way out, ila miundombinu ya uwekezaji na biashara = 0Unafikiri ingekuwa ni jiji la ovyo watu bado wangeendelea kuwekeza dar kama ilivyo Sasa ?
Viwanja! Viwanja! Viwanjaaa!!!Dawa ya mende kunguni viroboto"
Pata laini ya halotel Vodacom Airtel na vocha buuure kabisa
Haswaaa!!Dar es salaam ni chungu au tamu kulingana na uchumi ulionao.
Ukiwa hoehae lazima upachukie. Lakini ukiwa vizuri utaishi kama peponi hii haina kisingizio au blablaa