Hiki chama kimechoka chakali🤣🤣Serikali ya CCM imekua mzigo wa mwiba kwa wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki chama kimechoka chakali🤣🤣Serikali ya CCM imekua mzigo wa mwiba kwa wananchi.
Michongo reports and data cookingTuliwahi aminishwa enzi za Jiwe kuwa jiji la Dodoma linaongoza katika ukusanyaji wa mapato, wakati huo mkurugenzi wa jiji alikuwa Kunambi vipi sasa mambo yamegeuka?
Nchi imewashinda hawa wachovu🤣🤣🤣Raisi Samia Samia amewahi kutueleza pale tunapoona Serikali imekosea basi tuikosoe kwa staha na tushauri nini kifanyike.
Hivyo kwa staha naomba kuishauri Serikali juu ya hili ombi kwa wafanyabiashara kuchangia pesa kwa ajili ya anuani za makazi(postcode).
Sasa hivi Hali iliyopo inaonekana wazi tu kuwa mambo hayajakaa sawa kutokana na huu mfumuko wa Bei unaoendelea na hata wafanyabiashara wameathirika sana na hili na juzi hapa mh.raisi alisema gharama yuingiza kontena imepanda kutoka dola 1500 hadi dola 8000.
Hivyo kwa mfanyabiashara ambae mwanzo ilibidi atumie bil 1 kuingiza makontena yake kadhaa, Sasa hivi itahitaji atumie bil 8 kuingiza makontena hayo kadhaa. Hivyo nae kwa sasa atahitaji pesa nyingi kuagiza mzigo mkubwa kutokana na kupanda sana bei
Lakini pia hili zoezi bajeti yake ilishatengwa, Ila Kama haitoshi basi niwaombe serikali mnaweza kulisogeza mbele.
Post code zenyewe haziongezi mapato kwanini wanalazimisha kipindi ambacho hali ya uchumi sio nzuri?In maana serikal haikujipanga juu ya zoez hili?