Ngoja niweke bando nicheki.
UumbwaaNgoja niweke bando nicheki.
MaarassUumbwaa
Nyabumbu Maarassmita !!Uumbwaa
Sasa Mkuu si inategemea unatembea wapi. Ukiwa mji wa serikali, Kisasa, Iyumbu, Ilazo nk vumbi linatoka wapi au labda uwe mzururaji.Tatizo la Dodoma ni vumbi.
Mtu unapauka utadhani umetoka kucheza Ngoma.
Sawa sawa.Sasa Mkuu si inategemea unatembea wapi. Ukiwa mji wa serikali, Kisasa, Iyumbu, Ilazo nk vumbi linatoka wapi au labda uwe mzururaji.
Kuna mwingine anakwambia kuna ukame na hakuna mvua, sasa Mtu kama anataka kulima si aende Nyanda za juu vijijini, mjini hakuna mashamba
Wakiongeza huduma ya maji ikawa reliable litakua la kisasa kweli.Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.
Kuanzia ujenzi wa mji wa Kiserikali wa Magufuli City, NCC Link, Airport ya Msalato, Treni ya umeme, barabara za ndani ya mji, Dodoma Outerring roads, miradi ya NHC, Ikulu mpya, stendi nzuri ya mabasi nk Dodoma inakua kwa kasi sana
Kwenye hii video angalieni jinsi jiji letu linavyong'aa
View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=D9-pEVLLdIKpFGkg
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.
Kuanzia ujenzi wa mji wa Kiserikali wa Magufuli City, NCC Link, Airport ya Msalato, Treni ya umeme, barabara za ndani ya mji, Dodoma Outerring roads, miradi ya NHC, Ikulu mpya, stendi nzuri ya mabasi nk Dodoma inakua kwa kasi sana
Kwenye hii video angalieni jinsi jiji letu linavyong'aa
View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=D9-pEVLLdIKpFGkg
Pamoja na Vumbi Dom Ina mtandao mkubwa wa Lami kuzidi Dar,najua utabisha kwa sababu hujuiJiji la vumbi π
ππππ ni kweli sijuii, ahsante kwa kunijulisha.....Pamoja na Vumbi Dom Ina mtandao mkubwa wa Lami kuzidi Dar,najua utabisha kwa sababu hujui
Dar imejaa madimbwi na vinyesi mtaani.ππππ ni kweli sijuii, ahsante kwa kunijulisha.....
Tunamshukuru mama kwa mtandao mkubwa wa lami Dodoma
Tutabubujikwa machozi mama akitandika LamiDar imejaa madimbwi na vinyesi mtaani.
Mvua ilinyesha ni shida
Jualiliwaka ni taabu
Dar ni jehanamu tuu πππππ
Ila msijali mama anatandika lami km za kitaa hapo Dar n kazi inaendelea
Inategemea ni machozi ya aina ganiTutabubujikwa machozi mama akitandika Lami
Hata Sasa ndio Jiji la kisasa zaidi.Nyumba zote ni mpya,barabara Mpya,majengo mapya yaani Kila kitu kinapendeza.Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.