Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
- Thread starter
- #41
Sasa hiki ndio nini. Unaandika "UPUMBAVU" then unaishia hapo. Huelezei kwa nini ni upumbavu. Lengo lako ni nini hasa. Au mimi mleta mada unajaribu kunielezea nini, mimi nitaelewa vipi unachomaanisha, hujapenda nini hapo, nimekosea nini, tena unaandika kwa herufi kubwa kabisa kuashiria nini, yani kwa nini. Nani kakukera leo?UPUMBAVU