Jiji la Dodoma litakuja kuwa jiji la kisasa sana

Hata Sasa ndio Jiji la kisasa zaidi.Nyimba zote ni mbaya,bafabFa Mpya,majengo mapya yaani Kila kitu kinapendeza.
Kweli jiji la Dodoma linapendeza, linakosa population tu
Kwa jinsi Dodoma inavyozingatia Urban planning mpaka siku hili jiji litakapokua kuwa na watu 1.5M litakuwa jiji zuri sana.
Sina imani sana na Samia kama atakuwa na moyo wa kuijenga Dodoma kama Magufuli alivyofanya, ila naamini kwa kiasi jiji litaendelea vizuri tu
 
Population gani? Ujinga wa kusongamana uliopo Dar na Mwanza haiwezi kuwepo Dom Wala Serikali haiwezi ruhusu huo upuuzi.

That is urban chaos and failures of urban planning.

Dom Kwa Sasa sijui Utaenda upande gani wa Jiji ukuta haujengeki na wanaojenga ni wahamiaji.

Kwa kuwa Dom imepangwa,Ina njia nyingi na Miata hutakuja kuona msongamano kama wa Dar au Mwanza Kwa sababu za ufinyu wa miundombinu huko.
 
Hujui unachoongea. Dodoma ni pana kwa sababu ina too many empty spaces na watakaokuja kuzijaza hizo spaces ni watu.a hii population ya 1.5M itafika within just 10 years to come and there's nothing you can do about it
JIfunze kufuatilia miji ya nje pia, sio kila jiji lenye watu wengi lina msongamano wa watu. Jiji likipangwa vizuri hata watu milioni 2 wanaishi bila msongamano
Population ya Dodoma inapaswa ikue na I can't wait to see that
 
Ngoja niweke bando nicheki.
Screenshot_2025-07-11-11-53-58-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg
Screenshot_2025-07-11-11-53-45-34_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Hujui unachoongea. Dodoma ni pana kwa sababu ina too many empty spaces na watakaokuja kuzijaza hizo spaces ni watu.a hii population ya 1.5M itafika within just 10 years to come and there's nothing you can do about it
JIfunze kufuatilia miji ya nje pia, sio kila jiji lenye watu wengi lina msongamano wa watu. Jiji likipangwa vizuri hata watu milioni 2 wanaishi bila msongamano
Population ya Dodoma inapaswa ikue na I can't wait to see that
Sasa umeandika nini na Mimi niliandika nini?

Nilishasema Dom imepangwa ujinga wa msongamano kama wa Dar na Mwanza hautakaa utokee na nilikuwa namjibu member aliyedai kuwa eti shida ya Dom hakuna watu.

Mji uliopangwa kamwe hawezi.kuwa n msongamano,ambayo tafsiri yake ni urban planning failures na Serikali inapambana kuepuka hili tatizo Kwa Dodoma na sehemu kubwa wamefaulu.
 
Kweli ulikuwa unamjibu mtu mwingine? Kwa sababu angalia hapa, ulinijibu mimi
Screenshot_2025-07-16-06-02-47-999_com.android.chrome.jpg
 
Sasa umeandika nini na Mimi niliandika nini?

Nilishasema Dom imepangwa ujinga wa msongamano kama wa Dar na Mwanza hautakaa utokee na nilikuwa namjibu member aliyedai kuwa eti shida ya Dom hakuna watu.

Mji uliopangwa kamwe hawezi.kuwa n msongamano,ambayo tafsiri yake ni urban planning failures na Serikali inapambana kuepuka hili tatizo Kwa Dodoma na sehemu kubwa wamefaulu.
Arusha kwenye mipango miji ndio hatunaga wataalam au mji mzima ni squatters na ukitoka kidogo mapori
 
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.

Kuanzia ujenzi wa mji wa Kiserikali wa Magufuli City, NCC Link, Airport ya Msalato, Treni ya umeme, barabara za ndani ya mji, Dodoma Outerring roads, miradi ya NHC, Ikulu mpya, stendi nzuri ya mabasi nk Dodoma inakua kwa kasi sana

Kwenye hii video angalieni jinsi jiji letu linavyong'aa

View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=D9-pEVLLdIKpFGkg

View: https://www.instagram.com/p/DNXbZykoBiK/?igsh=MXJrbTJxaWZzcHFiNQ==
 
Ili mseme SSH aneuza Tanganyika mji wa Mwendazake si ndio? 😂
No simanishi hivo mkuu ila Kuna eneo limebaki kubwa njia ya kwenda udom huko, patakuja kuwa slam hatua zisipo chukuliwa mapema Kuna vijumba vimeanza kujengwa inasikitisha sana hivo serikali haitoweza kupakamilisha pote waitwe wawekezaji kusimamia show walau hataghorofa ishirini tu zisimamishwe. Tosha kabisa

Fullstop, kwishaaaa
 
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.

Kuanzia ujenzi wa mji wa Kiserikali wa Magufuli City, NCC Link, Airport ya Msalato, Treni ya umeme, barabara za ndani ya mji, Dodoma Outerring roads, miradi ya NHC, Ikulu mpya, stendi nzuri ya mabasi nk Dodoma inakua kwa kasi sana

Kwenye hii video angalieni jinsi jiji letu linavyong'aa

View: https://youtu.be/qGt02uSe59I?si=D9-pEVLLdIKpFGkg

UPUMBAVU
 
Back
Top Bottom