Sasa hiki ndio nini. Unaandika "UPUMBAVU" then unaishia hapo. Huelezei kwa nini ni upumbavu. Lengo lako ni nini hasa. Au mimi mleta mada unajaribu kunielezea nini, mimi nitaelewa vipi unachomaanisha, hujapenda nini hapo, nimekosea nini, tena unaandika kwa herufi kubwa kabisa kuashiria nini, yani kwa nini. Nani kakukera leo?UPUMBAVU
Here is the CityKitakachokuja kuibeba Dar ni Climatic Condition & Geographic location miongoni mwa nyingine so bado dsm itaipiku Dom tu!
Sisi tu hatuna mipango, dubai ni mashariki ya kati maeneo mengi ni jagwa lakini miji yao mingi, iko poa saanaTatizo la Dodoma ni vumbi.
Mtu unapauka utadhani umetoka kucheza Ngoma.
PSSSF HQNi kweli, kwanza foreign investors wanavutiwa kuinvest Dar kwa hiyo Dar haina mpinzani
Haipoi haiboiDodoma ni fire na ni jiji zuri sana
Lakini kuja kufikia Dar haiwezekani, ndio ninachosema
Ila sipingi kuwa Dodoma ni pazuri
Ghorofa 20 na hali ya matetemeko yatatoboa?No simanishi hivo mkuu ila Kuna eneo limebaki kubwa njia ya kwenda udom huko, patakuja kuwa slam hatua zisipo chukuliwa mapema Kuna vijumba vimeanza kujengwa inasikitisha sana hivo serikali haitoweza kupakamilisha pote waitwe wawekezaji kusimamia show walau hataghorofa ishirini tu zisimamishwe. Tosha kabisa
Fullstop, kwishaaaa