Jiji la Dodoma ni chafu!

Dodoma ni Kijiji Kilicho changamka


Sijui ilikuwaje Dodoma na Tanga yakawa majiji
 
We ndio uitakii mema Dodoma. Tunakosoa viongozi wajirekebishe we unatoa porojo zako. Kwahiyo kama huko Kariakoo ni kubaya na Dodoma kuwe hivyo? Hata hivyo huko unapoongelea kuna afadhali kuliko mlipo jaza mambao yenu kutuharibia mji tu hapa. Mtsyuuuu.
 
Hii ndio africa tena Tanzania ukileta uzungu kila kitu utakiona kichungu.😂😂😂
Hovyo sana sisi.
 
Barabara zipi? Hizi ninazozijua mimi? Huhuhu.
 
Kwanza namshangaa raisi. Alivyokuja juzi alipita wapi? Au ndio analewa sifa?
 
Dodoma ingetakiwa iwe safi na kpangiliwa vizuri sana kulinganisha na Dar ambapo palikosewa mifano ka majiji mengine yaliyohsmishwa kama Abuja, Yamasoukro, Pretoria
Dodoma ilianza vizuri. Lakini siku za hivi karibuni mambo yanazidi kuwa mabaya.
 
Jiji ni title tu haina bearing kivile. Lakini cha msingi waache kuzembea Dodoma sio ya kuwa hivi leo hii. Huko nyuma walijitahidi lakini sasa ni majanga.
 
Usitake kujifariji kwamba kwakuwa Dar ni chafu zaidi (si kweli kwa hali ilivyo sasa)basi Dodoma haina shida. Sipo hapa kushindana. Dodoma haikuwahi kuwa chafu hivi na mambo yanazidi kuwa mabaya.
 
Unatoa mbao huko unakuja kuzitua barabarani. Utakua una akili wewe?
unaijua historia ya biashara ya mbao pale na uwepo wa msikiti mahali pake au unaropoka? km umekuja jana 😷mdomo wako kuna watu watakucheka,,


hiyo biashara iko mda sanaaaa tena ni wastaarabu kuliko biashara za aina nyingine hutaki kakae mlimani kwa waziri mkuu kule.


tena usirudie kuingilia biashara za watu wengine zimetulea heshimu kbs .
 
😄😄😄 yaani dar wanaibeba sana ila ukweli wanaujua maeneo ya aghakani kule ferry unahisi kutapika tu harufu na shomboshombo sijui hawalioni hilo.

wanapinga dom kwa chuki si kingine
WEWE ndio huitakii mema Dodoma. Unataka Dodoma iendelee kuwa chafu kwasababu ya harufu ya ferry? Kwahiyo harufu ya ferry inauhusiano gani Dodoma? Hivi huwa mnatumia akili kweli?
 
Hamna lolote la uzungu wala uafrika. Ni uzembe tu.
Na uzembe ndio huo ututambulisha Uafrica wetu. Hakunaga jambo tunafanyaga likanyooka.
Kiukweli me hadi huwaga natamani ningezaliwa huko kwa watu wenye akili zao huwa nawakubali sana mambo yao yamenyooka. Watu wa magharibi ni watu smart sana.
 
waache watu watafte mkate wa siku

kituharibia mji weww na nani?


usikute nabishana na housegrl wa mhindi anatumia sim ya mtoto wa bosi wake.
 
WEWE ndio huitakii mema Dodoma. Unataka Dodoma iendelee kuwa chafu kwasababu ya harufu ya ferry? Kwahiyo harufu ya ferry inauhusiano gani Dodoma? Hivi huwa mnatumia akili kweli?
unadandia tren kwa mbele huelewi nilichomquotes bosi hebu tulia basi.


km vipi kasimame pale makutano gadaff alafu shika mice utangaze hili tangazo lako
 
Huhuhu kumbe we ni mtu wa mbao? Nimegusa penyewe. Acha kudanganya, historia gani? Unajifanya unaijua Dodoma kuliko mimi? Tetete! Ungekuwa unaijua ungetetea uozo hapa? Pale sio mahala pa mbao.
 
Unateseka ukiwa wapi??

Ok unaweza kutupa mbinu ya kulitenganisha vumbi na ardhi ya dodoma? Ile ni asilia ya eneo hilo, mengine ni kuwa mchawi tu.

Toka huko rudi kwenu.
Unapajua kwetu? Unajua tofauti ya vumbi la Dodoma ambalo lipo siku zote na udongo uliojaa barabarani utafikiri hamna lami?
Wewe ni kiongozi huko halmashauri unatetea kibarua chako?
Una akili?
Umelogwa?
Umechukuliwa bwana?
 
unadandia tren kwa mbele huelewi nilichomquotes bosi hebu tulia basi.


km vipi kasimame pale makutano gadaff alafu shika mice utangaze hili tangazo lako
Naelewa vizuri ulichomquote. Labda kama wewe hujui namna ya kuandika vizuri ureflect mawazo yako.
Anyway jipange ndugu. Stress za mbao zako usinitolee mimi kamtolee bwana wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…