Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
- Thread starter
- #61
Umesoma uzi au umekimbilia kutoa comment? Wapi nimesema nataka kuhama?Hamia hata Iringa.Ni jirani tu hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma uzi au umekimbilia kutoa comment? Wapi nimesema nataka kuhama?Hamia hata Iringa.Ni jirani tu hapo.
Ulienda shule ukajifunza kusoma kwani? Usiseme uzi hauna picha sema huwezi kusoma.Uzi bila picha huwa sisomi mimi
Jiji ni title tu. Shida sio kuitwa jiji shida ni uchafu.Dodoma ni Kijiji Kilicho changamka
Sijui ilikuwaje Dodoma na Tanga yakawa majiji
Mkuu,umelalama Dodoma ni pachafu.Kwa hiyo kukuambia uhamie sehemu safi ni nongwa mkuu?Umesoma uzi au umekimbilia kutoa comment? Wapi nimesema nataka kuhama?
Nikikimbia ndio patakuwa pasafi? Ndio maana nimekuuliza kama ulisoma uzi. Mada mezani ni uchafu wa jiji la Dodoma.Mkuu,umelalama Dodoma ni pachafu.Kwa hiyo kukuambia uhamie sehemu safi ni nongwa mkuu?
Muhishimiwa,hii nchi ni ya ujamaa,kujitegemea na uzalendo.Anza kufagia palipo pachafu mkuu.Nikikimbia ndio patakuwa pasafi? Ndio maana nimekuuliza kama ulisoma uzi. Mada mezani ni uchafu wa jiji la Dodoma.
Unaweza kufagia asubuhi mpaka jioni mpaka kiama; alafu waliopewa mamlaka na wanaolipwa kuhakisha usafi unakuwepo wanaendelea kula na kujamba.Muhishimiwa,hii nchi ni ya ujamaa,kujitegemea na uzalendo.Anza kufagia palipo pachafu mkuu.
Changamoto yako ni wivu.Kwa hiyo wakijamba si ujifunike pua usipate harufu?Unaweza kufagia asubuhi mpaka jioni mpaka kiama; alafu waliopewa mamlaka na wanaolipwa kuhakisha usafi unakuwepo wanaendelea kula na kujamba.
Kakijiji kakuuubwaaa!😂😂😂😂Ukiachana na Dar ila haya mengine tunayoita majiji ni hamna kitu. Nimeenda jiji moja yaani mpaka saa 1 asubuhi bado wamelala. Nilifika saa 11 alfajiri nilikuta mji kimya, sasa jiji gani hilo.
kwanini unakuwa mkali km una mimba changa?Naelewa vizuri ulichomquote. Labda kama wewe hujui namna ya kuandika vizuri ureflect mawazo yako.
Anyway jipange ndugu. Stress za mbao zako usinitolee mimi kamtolee bwana wako.
Mwana-Yanga upo?JF tungekuwa tunaonana ingekuwa shida sana.Mtu akipiga bia zake tu anakuja kufokea watu JF utadhani wajukuu wake.Full vimbwanga.Ila Jf raha sana. Lol.
Kuna mawiliBarabara zipi? Hizi ninazozijua mimi? Huhuhu.
Nipo Mtani nimejaa tele.Mwana-Yanga upo?JF tungekuwa tunaonana ingekuwa shida sana.Mtu akipiga bia zake tu anakuja kufokea watu JF utadhani wajukuu wake.Full vimbwanga.
Sawa mtani wangu mpendwa.Hivi,nje ya hoja, mtacheza lini mechi ya kimataifa na Eritrea?😂😂😂😂Nipo Mtani nimejaa tele. Hahahaaa. Ingekuwa ndo poa kwani ingeleta taswira nzuri hasa juu ya haya mabandiko na hata hizi replies zetu. 🤣🤣🤣
😅😅 🏃♀️🏃♀️Sawa mtani wangu mpendwa.Hivi,nje ya hoja, mtacheza lini mechi ya kimataifa na Eritrea?😂😂😂😂
Hapo Wenyewe Watu Wa Ilimu Walipiga CashIla pale Gadafi duh pameharibu kabisa ile mandhari!
Muheshimiwa usitoroke.Nipe ratiba.😂😂😂😅😅 🏃♀️🏃♀️