Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Sina usingizi mie.![]()
![]()
![]()
![]()
Huu uzi naona utanisaidia kukula kimasikhara😂😂😂Sina usingizi mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina usingizi mie.![]()
![]()
![]()
![]()
Huu uzi naona utanisaidia kukula kimasikhara😂😂😂Sina usingizi mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wee usinambie sasa. UwiiiiihHuu uzi naona utanisaidia kukula kimasikhara[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika, hicho kicheko me nipo hoi bin taaban😂😂😂Wacha wee usinambie sasa. Uwiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaHakika, hicho kicheko me nipo hoi bin taaban[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama nataka kuokota embe dodo kwenye mkaratusi.😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utashangaa sio dodo n limao.Ni kama nataka kuokota embe dodo kwenye mkaratusi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante mkuu. Ila ninakuhakikishia sijaongeza chumvi.Watu tunakaujinga Fulani hivi, mtu kaleta malalamiko à mbayo Kwa namna Moja ama nyingine Yana ukweli ndani yake japo kunaweza kuwa na chumvi Ili kuonesha namna gani jamaa anakereka na hiyo Hali.
Yawezekana kuna watu wengi wanakerwa na hiyo Hali lakini hawajali sababu hakai Dodoma, au hakai mazingira karibu na huo uchafu. Ingekuwa ni DSM ndo limesemwa hili kila mtu angejikuta kuchangia kujifanya naye ni mtu wa Dar hata kama anakaa Matejoo Arusha.
Binafsi serikali na wahusika lazima wajitathmini Dodoma ni makao makuu ya nchi, na ni kama sebule ya nyumba sasa kama sebuleni ambako ndioo wageni wanafikia ni pachafu itakuwaje huko chumbani SI ndo jalala kabisaa. Dodoma japo ni Mji mdogo haupaswi kuwa na uchafu wa namna hiyo.
Viongozi watimize wajibu wao na pia ni upuuzi mkubwa kushadadia uchafu we kama unakaa Mwanza hakuna uchafu sie wa Dodoma acha tupige kelele
Ndiyo ishakua jiji sasaHata kama mtapingana na mtoa mada/mimi! Bado ukweli unabaki pale pale; Dodoma haina hadhi ya kuitwa Jiji kutokana na kukabiliwa na Changamoto nyingi!
Ila sikatai; iwapo Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu mbalimbali, kwa baadaye Mji utabadilika. Ila kwa sasa hapana aisee.
Dodoma imepangwa vizuri kuliko miji yote ya Tanzania.Dodoma ingetakiwa iwe safi na kpangiliwa vizuri sana kulinganisha na Dar ambapo palikosewa mifano ka majiji mengine yaliyohsmishwa kama Abuja, Yamasoukro, Pretoria
Miji mingi Tanzania imepangwa kasoro tu Dar ndio walishindwa kabisa.Dodoma imepangwa vizuri kuliko miji yote ya Tanzania.
Bado huyo wa mbao anaejitapa humu hamna mtu wa kumfanya loloteUpdate:
CCM mchana wa leo wameondoa uchafu wa mirunda na kuweka milingoti ya chuma kwaajili ya bendera zao. Imekuwa afadhali sasa.
DelusionsBado huyo wa mbao anaejitapa humu hamna mtu wa kumfanya lolote