Jiji la Dodoma ni chafu!

Jiji la Dodoma ni chafu!

Sina usingizi mie.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Sina usingizi mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi naona utanisaidia kukula kimasikhara😂😂😂
 
Watu tunakaujinga Fulani hivi, mtu kaleta malalamiko àmbayo Kwa namna Moja ama nyingine Yana ukweli ndani yake japo kunaweza kuwa na chumvi Ili kuonesha namna gani jamaa anakereka na hiyo Hali.

Yawezekana kuna watu wengi wanakerwa na hiyo Hali lakini hawajali sababu hakai Dodoma, au hakai mazingira karibu na huo uchafu. Ingekuwa ni DSM ndo limesemwa hili kila mtu angejikuta kuchangia kujifanya naye ni mtu wa Dar hata kama anakaa Matejoo Arusha.

Binafsi serikali na wahusika lazima wajitathmini Dodoma ni makao makuu ya nchi, na ni kama sebule ya nyumba sasa kama sebuleni ambako ndioo wageni wanafikia ni pachafu itakuwaje huko chumbani SI ndo jalala kabisaa. Dodoma japo ni Mji mdogo haupaswi kuwa na uchafu wa namna hiyo.

Viongozi watimize wajibu wao na pia ni upuuzi mkubwa kushadadia uchafu we kama unakaa Mwanza hakuna uchafu sie wa Dodoma acha tupige kelele
 
Ahsante mkuu. Ila ninakuhakikishia sijaongeza chumvi.
 
Update:
CCM mchana wa leo wameondoa uchafu wa mirunda na kuweka milingoti ya chuma kwaajili ya bendera zao. Imekuwa afadhali sasa.
 
Hata kama mtapingana na mtoa mada/mimi! Bado ukweli unabaki pale pale; Dodoma haina hadhi ya kuitwa Jiji kutokana na kukabiliwa na Changamoto nyingi!

Ila sikatai; iwapo Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu mbalimbali, kwa baadaye Mji utabadilika. Ila kwa sasa hapana aisee.
Ndiyo ishakua jiji sasa
Utafanyaje?
 
Dodoma ingetakiwa iwe safi na kpangiliwa vizuri sana kulinganisha na Dar ambapo palikosewa mifano ka majiji mengine yaliyohsmishwa kama Abuja, Yamasoukro, Pretoria
Dodoma imepangwa vizuri kuliko miji yote ya Tanzania.
 
Na mvua hii....mji mzima unanuka mavi.😔
 
Back
Top Bottom