Jiji la Dodoma ni chafu!

We nae unakuwa km umerukwa akili!! Au izo mbao ni biashara yako?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
acha uchochezi weka na picha mtumishi
 

Dom kwa miaka michache itaipiku arusha ikiwa wataiendeleza. Ila kwa Dar na Mwanza itamchukua miaka labda 200 kuzifikia
 
Ukiwa Dodoma unaeza zani uko shimoni ..kwanza hewa kavu halafu nzito, maji yake mabaya ..Yani kwa ufupi Hilo li mji bado ni la kishamba sana.
 
Dom kwa miaka michache itaipiku arusha ikiwa wataiendeleza. Ila kwa Dar na Mwanza itamchukua miaka labda 200 kuzifikia
Cheki huyu mbanga..dodoma hata ironga tu bado hawajasohelea ndio utaje Jiji kama A Town?
 
Unashangaa uchafu wa Dodoma, kwani CCM ni safi?
Hata Mimi namshangaa, jiji analojaa Ndugai na ndugu zake unategemea liwe Safi?
Sifa kuu ya mgogo ni uchafu.
Mleta mada kaa Dodoma kwa kutulia, Huwezi Rudi Dar.
 
Ngojea tukutumie mgambo waje wakufurumushe hapo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nataka kuwakaribisha na ndugu zangu walioko mafinga na mufindi walete mbao eneo hili la msikiti wa gadafi, nazani hapa biashara ya mbao inalipa zaidi, unataka tukale wapi? Et kupendezesha jijiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tupo hapa na tutatamalaki njia zote za eneo hili.
 
Siku zenu zimebakia chache ndio maana mnaharisha hapa. Eti mbao. Mfyuuu Dodoma iache kupendeza kisa vijimbao vyenu? Kwani nyie wenyewe ndio mnafanya biashara ya mbao Tz nzima? Miji mengine mbona hawabughdhi wenzao na mbao barabarani? Ukiona hivi ujue akili zenu ni finyu sana.
 
We unajifanya unaijua Dodoma kuliko mimi matonya mgogo halisi tuache na Dodoma yetu, tunataka tuanzishe biashara ya mkaa tupange magunia kuzunguka ilo eneo la pembeni pamoja na barabarani tuone utanifanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…