Jiji la Dodoma ni chafu!

Jiji la Dodoma ni chafu!

unaijua historia ya biashara ya mbao pale na uwepo wa msikiti mahali pake au unaropoka? km umekuja jana [emoji40]mdomo wako kuna watu watakucheka,,

hiyo biashara iko mda sanaaaa tena ni wastaarabu kuliko biashara za aina nyingine hutaki kakae mlimani kwa waziri mkuu kule.

tena usirudie kuingilia biashara za watu wengine zimetulea heshimu kbs .
We nae unakuwa km umerukwa akili!! Au izo mbao ni biashara yako?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Jiji la Dodoma ni lichafu. Barabara zimejaa udongo na matope utafikiri hazijawekwa lami. Tope kama tuko shambani jamani. Mvua imenyesha kidogo maji yamekwama kwenye barabara hamna proper drainage system. Pembezoni mwa barabara hapajasakafiwa vizuri au kuoteshwa majani ili kuzitunza barabara hizi.Kingo zake zinameguka kila kukicha.

Taka hazijazolewa muda mrefu. Niliona zikizolewa mara moja tu kwa kutumia yale magari ambayo yako wazi(Suma jkt) yakipita mji mzima unanuka.

Sokoni ndio usiseme. Masoko yote Dodoma ni mabaya. Watu wapo ofisini hawawajibiki. Wanasubiri nini?

Maeneo ya Uwanja wa Jamhuri kumejazwa mbao kila mahali ule msikiti wa Gaddafi umezibwa hauonekani. Mbao zinafanyanini barabarani? Hivi nyie viongozi mnaakili kweli? Mji mchafu
sana.Maafisa mazingira kazi yenu imewashinda.

Ccm wana mirunda ina bendera zao jiji zima utafikiri kichaa ndio amesimika. Kiufupi ni uchafu. Mnashindwa kuweka kitu chenye mvuto?

Mkurugenzi, jiji limekushinda. Wewe na mkuu wa mkoa kazi yenu kuropoka tu hamna mikakati. Jiji gani hili?
acha uchochezi weka na picha mtumishi
 
Dom kwa miaka michache itaipiku arusha ikiwa wataiendeleza. Ila kwa Dar na Mwanza itamchukua miaka labda 200 kuzifikia
 
Ukiwa Dodoma unaeza zani uko shimoni ..kwanza hewa kavu halafu nzito, maji yake mabaya ..Yani kwa ufupi Hilo li mji bado ni la kishamba sana.
 
Unashangaa uchafu wa Dodoma, kwani CCM ni safi?
Hata Mimi namshangaa, jiji analojaa Ndugai na ndugu zake unategemea liwe Safi?
Sifa kuu ya mgogo ni uchafu.
Mleta mada kaa Dodoma kwa kutulia, Huwezi Rudi Dar.
 
Ngojea tukutumie mgambo waje wakufurumushe hapo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nataka kuwakaribisha na ndugu zangu walioko mafinga na mufindi walete mbao eneo hili la msikiti wa gadafi, nazani hapa biashara ya mbao inalipa zaidi, unataka tukale wapi? Et kupendezesha jiji😂😂😂😂 tupo hapa na tutatamalaki njia zote za eneo hili.
 
Siku zenu zimebakia chache ndio maana mnaharisha hapa. Eti mbao. Mfyuuu Dodoma iache kupendeza kisa vijimbao vyenu? Kwani nyie wenyewe ndio mnafanya biashara ya mbao Tz nzima? Miji mengine mbona hawabughdhi wenzao na mbao barabarani? Ukiona hivi ujue akili zenu ni finyu sana.
 
We unajifanya unaijua Dodoma kuliko mimi matonya mgogo halisi tuache na Dodoma yetu, tunataka tuanzishe biashara ya mkaa tupange magunia kuzunguka ilo eneo la pembeni pamoja na barabarani tuone utanifanya nini.
 
Back
Top Bottom