Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,308
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]

Siandiki waraka hapa.

Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.

Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii imefanya mambo makubwa.

Sasa kwa hali hii ya Leo inaonesha watu kutaka mabadiliko ambayo wapo tayari kufanya chochote ili hali HAKI inatendeka.

Ila Mwanza HAPANA[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaua wazee wa watu.

 
Kule Dodoma sijui wana hali gani akina haraka haraka na mtu wao. Hii imevuraga kabisa mkutano wao wa kesho huko watakakofanyia, mtawasikia wakisema vitu visiyo eleweka na hata kuvunja sheria za uchaguzi kutokana na panic.

Katika panic hiyo wanaweza kuahidi hata kuanza ujenzi wa roketi kubwa (Satellite) na kulirusha anga za mbali ili kumonitor nyendo za wapinzani
 
Tume ya Jaji warioba ilikuwa sahihi
Watanzania wanataka mfumo mpya wa utawala!
Kuendelea na katiba ya sasa ya Kidikteta ipo siku wananchi watarevolt!
Mungu anampango mkubwa kumlinda Lissu na zile risasi 16.

Tutaona mpango wa Mungu baada ya Mwezi oktoba.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
CCM LAZIMA TUMTAFUTE ALIYETUDANGANYA KUWA CHADEMA IMEKUFA TUKAJISAHAU NAONA KAMA CCM INAENDA KUWA CHAMA CHA UPINZANI NASISI LUZUKU ZITAKUWA HAZITOSHI LAZIMA TUTAFUTANE
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
 
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani wanamjibu Lissu sera zake.

Mwananchi haelewi ukimwambia umejenga uwanja wa ndege kwenu.

Kibaya walituibia hela ya vitambulisho saivi wanasema sio lazima. WIZI MTUPU.

Mkombozi wetu kaja, atatukumboa.
 
Back
Top Bottom