Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,308
- Thread starter
- #41
Athuuuuubutu!Lissu aongezewe ulinzi. Jamaa alivyo na roho mbaya anaweza kujaribu kumuua kwa mara ya pili kabla 28 Oktoba haijafika.
All eyes are watching every moves Tundu make.
Kweli nimeamini watu kama Lissu wanazaliwa kwa special mission wapo Mara moja kwa century.