Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Haya maandamano ya usiku Jiwe hatapata usingizi maana anawaza siku Lissu akikataa matokeo ya uongo itakuwaje.
mi namshauri auze ndege moja awarudishie machinga hela zao kabla ya uchaguzi itasaidia kupunguza hasira za wapiga kura.
 
haya maandamano ya usiku jiwe hatapata usingizi maana anawaza siku Lissu akikataa matokeo ya uongo itakuwaje.
mi namshauri auze ndege moja awarudishie machinga hela zao kabla ya uchaguzi itasaidia kupunguza hasira za wapiga kura.
Bado tunamlabua vilivyo kwenye sanduku.

Tunataka HAKI, UHURU NA MAENDELEO YA WATU.

SASA BASI

NI YEYE TU.
 
Anasema uongozi siyo kujaribu ,kwani yeye alikuwaje Rais bila kujaribu .

Liwalo liwe tutamjaribu Lissu zamu hii
 
Hizi video Magu akiziona atatamani achome moto zile ndege
Hawa majamaa kama wamepoteana vile mapema wakati mechi hata haijafika half time , kila siku wanashambuliwa wao wametepeta pamoja na media zote kuzilazimisha ziwafanyie promo,hii karne ya 21 wananchi wamesoma hadi vijijini hawadanganywi kwa propaganda za kwenye tv na redio watu wanaangalia real life
 
Back
Top Bottom