Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Magufuli ana roho ya kukataliwa! Hebu ona rafu zote za miaka 5, airtime ya kutosha na bado now anajitangaza utafikiri ndo mara ya kwanza kugombea!!Hawa majamaa kama wamepoteana vile mapema wakati mechi hata haijafika half time , kila siku wanashambuliwa wao wametepeta pamoja na media zote kuzilazimisha ziwafanyie promo,hii karne ya 21 wananchi wamesoma hadi vijijini hawadanganywi kwa propaganda za kwenye tv na redio watu wanaangalia real life