Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Aluta continua!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee atakuwa halali ili biashara yake ya kununu wabunge na madiwani imebumaKule Dodoma sijui wana hali gani akina haraka haraka na mtu wao. Hii imevuraga kabisa mkutano wao wa kesho huko watakakofanyia, mtawasikia wakisema vitu visiyo eleweka na hata kuvunja sheria za uchaguzi kutokana na panic.
Katika panic hiyo wanaweza kuahidi hata kuanza ujenzi wa roketi kubwa (Satellite) na kulirusha anga za mbali ili kumonitor nyendo za wapinzani
CDM wajikite kanda ya kati hao ndiyo hawajielewiNashauri kampeni za cdm zifungiwe Mwanza, Dar sina hofu nayo hata kidogo.
Bangosha wapewe shule ya kutosha kila mara
[emoji23][emoji23]Nashauri kampeni za cdm zifungiwe Mwanza, Dar sina hofu nayo hata kidogo.
Bangosha wapewe shule ya kutosha kila mara
Kweli kabisa.CDM wajikite kanda ya kati hao ndiyo hawajielewi
Nani yupo interested na huyo?ni mwenyekiti wa kijiji anapita nn, ebu kapitie mapokezi ya magu kwanza ndo ujue maaana ya jiji kusmama
Sema sijui sehemu masikini kwanini wanaipenda sana CCMKweli kabisa.
Wawape darasa wataelewa tu kwasababu maisha yamekuwa magumu kwasababu ya hii serikali.
Wakipewa darasa watafanya mabadiliko 28, Oct.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Kuna watu huchoki kuwasikiliza ujue?Kama think tanks za CCM zitasoma hapa..
TAFADHALI WAPENI WATU UHURU WAWASIKIE WANAOWAPENDA NDANI YA MUDA HUO WATACHOKA KURUDIWA KWA MANENO NA WATAMCHOKA MSEMAJI YULEYULE KILA SIKU.
wananchi wanafuta kitu kipya ambacho hawakukisikia kwa muda mrefu, wanamfuata ambae hawajamuona kwa muda.... Wamechoshwa na maneno yaleyake kila siku ndege, viwanja, reli, uchumi wa kati... Kwa KIFUPI ZAIDI YA HAYO ATOKEE MWANA CCM MWENZANGU ANIAMBIE MENGINE
Dom rafiki zangu wagogo ni wachache wameamka[emoji23][emoji23]
Chadema sehemu inayopata wasiwasi ni Dodoma tu
Ngome zingine kwisha habari yake.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Exactly [emoji106]Hili shangwe wangepata ccm, wangelipa hata CNN ionyeshe dunia. Surprisingly Lake zone is the Tundu Lissu strong hold.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.
Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii imefanya mambo makubwa.
Sasa kwa hali hii ya Leo inaonesha watu kutaka mabadiliko ambayo wapo tayari kufanya chochote ili hali HAKI inatendeka.
Ila Mwanza HAPANA[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaua wazee wa watu.
CDM wajikite kanda ya kati hao ndiyo hawajielewi
[emoji23][emoji23]
Chadema sehemu inayopata wasiwasi ni Dodoma tu
Ngome zingine kwisha habari yake.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Lissu style yake ya kampeni ni ya ajabu sana....waliopanga ratiba wako vyema sana, najua lazima amalizie kwa helcoptaKweli kabisa.
Wawape darasa wataelewa tu kwasababu maisha yamekuwa magumu kwasababu ya hii serikali.
Wakipewa darasa watafanya mabadiliko 28, Oct.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Elimu kaka na kingine hawajapata mtu sahihi wa kuleta mabadiliko ila sasa amekuja.Sema sijui sehemu masikini kwanini wanaipenda sana CCM
Hawana wanamapinduzi.Dom rafiki zangu wagogo ni wachache wameamka
HecoLissu style yake ya kampeni ni ya ajabu sana....waliopanga ratiba wako vyema sana, najua lazima amalizie kwa helcopta
Jimbo la zitto pekee ndiyo upinzaniElimu kaka na kingine hawajapata mtu sahihi wa kuleta mabadiliko ila sasa amekuja.
Kigoma ni maskini lakini upinzani unakubadilika ni kwasababu wana watu kama zitto kabwe wa kuwapa muamko wakazi.
Hopefully Dodoma watabadilika kwa darasa la nchi nzima la Tundu lissu.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Kodi ndiyo inayojenga. Una hakika ni wana ccm pekee ndio wanaolipa kodi? Majambazi wakubwa nyie na chama chenu cha majambazi (ccm).Pale Genge la nyumbu linapokaa chini ya miundo mbinu mizuri iliyojengwa na ccm wakitiana ujinga.
Huyu ni tapeli wa siasaKafulila alikuwa ccm kabla ya kumfanyia figisu matokeo?