Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Point of correction alishinda uchaguzi lakini hakutangazwa mshindi, na yeye kwa kuwa hakuwa mtata akaamua kupotezea na kutokana na makandokando yake mengi mwishowe akarudi alikolelewa.Tuwe wakweli hivi nyomi hili linazidi kweli enzi za lowasa Mimi naamini Kama lowasa hakupita kwa nyomi ile sidhani Kama TL atapita sasa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Safari hii Chadema tuna chuma cha pua, taarifa kwa wezi wote wa kura kaeni mkijua ama zetu ama zenu.