Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,308
- Thread starter
- #161
Hatutakubali sasa basi.Wagogo wako nyuma kwa sababu ni Wagogo kama Ndugai dhaifu fundi wa kutumia rungu hata kushinda Ubunge halafu bado wanampitisha bila kupingwa. Mpinzani wake Lissu amejichimbia Dodoma badala ya Dar es Salaam kuandaa mbinu za kutangazwa mshindi maana NEC watatangaza matokeo ya Uchaguzi toka Makao Makuu. CCM pia wapo hapo na leo Katibu Mwenezi amejaribu kujibu hoja zilitolewa kwenye kampeni kwa taarifa ya yaliyojiri Bungeni lililofungwa miezi mitatu iliyopita.
Afu wamefanya trick NEC kuwa Dodoma.
Ikiwa Dar pangenuka kisawasawa.
Dodoma hamna hamsha hamsha kubwa ila tutatuma ujumbe nchi nzima kura zikiibwa.