Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]

Siandiki waraka hapa.

Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.

Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii imefanya mambo makubwa.


Sasa kwa hali hii ya Leo inaonesha watu kutaka mabadiliko ambayo wapo tayari kufanya chochote ili hali HAKI inatendeka.

Ila Mwanza HAPANA[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaua wazee wa watu.

View attachment 1580967
Mwaka huu ni yao kuisoma namba
 
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Tumechoka kutawaliwa na dikteta
We can't breathe
Ameen ameen
 
Sawa
 

Attachments

  • FB_IMG_1601060338264.jpg
    FB_IMG_1601060338264.jpg
    18.3 KB · Views: 1
Pale Genge la nyumbu linapokaa chini ya miundo mbinu mizuri iliyojengwa na ccm wakitiana ujinga.
 
Narudia kusema kuna watu humu baada ya tarehe 28/10/2020 watakufa kwa presha .

Nyie endeleeni kujipa matumaini hewa.
 
Ni dhahiri ujio wa Tundu Lissu umebadili upepo wa kisiasa, Mihemko ni jambo la kawaida kwenye nyakati kama hizi, Mwaka 2015 tuliona watu wakideki barabara kwa ajili ya Mheshimiwa Lowassa ila matokeo ya uchaguzi yalikuwa tofauti na matarajio ya wengi, Naimani wapinzani walijifunza na uzuri bado muda upo wa kurekebisha makosa na kuzingatia ushauri wa mheshimiwa membe aliotoa siku ile pale airport, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, inahitajika mikakati madhubuti kwenye ngazi za vitongoji, vijiji, kata hadi halmashauri ili upinzani ushinde uchaguzi, ni vizuri ikumbukwe tume iliyopo sio huru na dalili za kuwepo kwa upendeleo kwa chama tawala zimeshaonekana kwenye mchakato wa uchaguzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lolote tumempata mchomoa battery waibe waone hatuna muda tena na tume huru itajitengeneza yenyewe hakuna njia za kuqminisha tena huo ujinga!
 
Hili shangwe wangepata ccm, wangelipa hata CNN ionyeshe dunia. Surprisingly Lake zone is the Tundu Lissu strong hold.
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni Mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli. Never

Ukiwa na akili timamu lazima umuelewe na umchague Tundu Antiphas Lissu!! Hii ni tunu kweli tiliyopewa na Mungu!
 
Chief huyo jamaa ni muujiza unaotembea, yani hii inajidhihirisha kwamba Mungu kweli yupo, 16 Bullet lakini u hai.
Haijawahi kutokea Dunia nzima mkuu.

Watu hawajui tu katika ulimwengu wa roho lissu kabeba maono makubwa na hakuna nguvu inaweza mshinda kamwe.

Tusuburi.

Ccm wa buku saba siwaoni hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hana mabango, hatembei na wasanii, hafungi shule wanafunzi waje, hatishii watumishi wa serikali waje, hajajenga flyover, wala railways, wala kununua ndege.

Lakini MAELFU WANAMFUATA.

LISSU ANAKERA JAMANI?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Hata Mimi ningepata HEARTATTACK !!!
Namuelewa sana Mtumishi wa Mungu Mwingira. Tundu Antiphas Lissu ni Mshindi. Huwezi shindana na mtu aliyeshindiwa vita ná Mungu
 
Back
Top Bottom