Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Mzee atakuwa halali ili biashara yake ya kununu wabunge na madiwani imebuma
 
Kama think tanks za CCM zitasoma hapa..

TAFADHALI WAPENI WATU UHURU WAWASIKIE WANAOWAPENDA NDANI YA MUDA HUO WATACHOKA KURUDIWA KWA MANENO NA WATAMCHOKA MSEMAJI YULEYULE KILA SIKU.

wananchi wanafuta kitu kipya ambacho hawakukisikia kwa muda mrefu, wanamfuata ambae hawajamuona kwa muda.... Wamechoshwa na maneno yaleyake kila siku ndege, viwanja, reli, uchumi wa kati... Kwa KIFUPI ZAIDI YA HAYO ATOKEE MWANA CCM MWENZANGU ANIAMBIE MENGINE
 
ni mwenyekiti wa kijiji anapita nn, ebu kapitie mapokezi ya magu kwanza ndo ujue maaana ya jiji kusmama
Nani yupo interested na huyo?

Hivi napata wapi muda wa kukaa na kusikiliza MTU aliyeharibu hali ya Masiha na kuharibu mfumo mzima wa utawala?

Lissu namsikiliza hadi mwisho na sitaki hata amalize jinsi anavyotupa darasa murua.

SASA BASI.

NI YEYE TU 28 OCT.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu huchoki kuwasikiliza ujue?

NI hawa kina lissu yule mwingine anakauli chafu na nyeusi ndio maana saivi hata iwe vipi siwezi kumsikiliza

Nikikuta mahali wanamsikiliza naondoka.


LISSU NI MTETEZI WETU, ASANTE MUNGU.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho. Msijifariji kipigo kiko pale pale
 
CDM wajikite kanda ya kati hao ndiyo hawajielewi
[emoji23][emoji23]

Chadema sehemu inayopata wasiwasi ni Dodoma tu


Ngome zingine kwisha habari yake.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa.

Wawape darasa wataelewa tu kwasababu maisha yamekuwa magumu kwasababu ya hii serikali.

Wakipewa darasa watafanya mabadiliko 28, Oct.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Lissu style yake ya kampeni ni ya ajabu sana....waliopanga ratiba wako vyema sana, najua lazima amalizie kwa helcopta
 
Sema sijui sehemu masikini kwanini wanaipenda sana CCM
Elimu kaka na kingine hawajapata mtu sahihi wa kuleta mabadiliko ila sasa amekuja.

Kigoma ni maskini lakini upinzani unakubadilika ni kwasababu wana watu kama zitto kabwe wa kuwapa muamko wakazi.

Hopefully Dodoma watabadilika kwa darasa la nchi nzima la Tundu lissu.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Jimbo la zitto pekee ndiyo upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…