Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Unamuamini huyo mtu waporojo?

Doh! Kama ndio think tank wenu huyo basi nyie hamjitambui.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Anachosema kweli 100% Meko alivyokimbilia visiwani alikuwa wa kwanza kusema..Yuko wapi siku 4
 
Watu wanampenda TAL zaidi ya hali inayoonekana ...kadri siku zinavyo jongea watu wanaonesha hisia zao.

Miaka 5 yakuua upinzani wananchi waliona bora wasioneshe itikadi zao za kivyama hasa wa upinzania kwa kuhofia usalama wao.

Asante TAL
 
Jiwe mtamuua kwa presha hivi kaitisha kikao anajipanga upya mambo magumu kijani kibichi .
Screenshot_20200926-120819.png
 
Kwenu sio kwa CCM, JPM atapata ushindi wa kishindo na kuanzia hapo mtagundua Watanzania wana macho yakuona mazuri ya JPM.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Mkuu roho ya bwana inaniambia kwamba hu mtu muhimu katika taifa hili na unapenda haki Uhuru na maendeleo ya watu tafadhali mkuu usifanye makosa mpe Kura mbeba maono,
 
Kule Dodoma sijui wana hali gani akina haraka haraka na mtu wao. Hii imevuraga kabisa mkutano wao wa kesho huko watakakofanyia, mtawasikia wakisema vitu visiyo eleweka na hata kuvunja sheria za uchaguzi kutokana na panic.

Katika panic hiyo wanaweza kuahidi hata kuanza ujenzi wa roketi kubwa (Satellite) na kulirusha anga za mbali ili kumonitor nyendo za wapinzani
Kuna taarifa kaita wakurugenzi dodoma
 
Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
[emoji23][emoji23]

Baada ya kuja Lissu CCM mnalilialia kama yatima.

Toka hapa shetani uende zako.

Huwezi shindana na nguvu ya Mungu aliyemponesha Lissu na risasi zenu 16.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Itoshe tu kusema kuwa roho yangu imefurahi sana. Mungu wa mbinguni, nchi yako imelilia haki. Bwana, tutue huu mzigo waja wako. Tupe kiongozi. Ondoa mnyampara huyu. Amina.
Mungu asikie maombi yetu ya muda mrefu ccm iondoke marakani eehee mwenyezi Mungu jibu maombi haya tumeteseka sana
 
[emoji23][emoji23]

Baada ya kuja Lissu CCM mnalilialia kama yatima.

Toka hapa shetani uende zako.

Huwezi shindana na nguvu ya Mungu aliyemponesha Lissu na risasi zenu 16.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Mungu hayupo hivyo unavyofikiria wewe....ujiandae tuu hakuna namna nyingine zaidi ya CCM kushinda ushindi wa kishindo.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
 
Kaita wakurugenzi Dodoma nadhani kwa ajili ya wizi wa kura tu.nasikia jamaa kawa mkali anafoka tu huko alikojificha
Hiyo sahau, hawezi hawezi tena.
Walipo wanapanga wizi wa kura tu
 
I got u
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
[/QUOT
EXACTLY ccem now can't breathe
 
Mulokozi? Wa wapi wewe akina Mulokozi wamemzomea Jiwe juzi na mbunge wa mboga mboga wakamwambia agende? Utakuwa wa Dodoma kwa Ndugai
Popote pale la umuhimu ni October 28 hakuna namna itabidi mkubali tuu maana CCM itashinda kwa kishindo.

Upinzani bado sana labda mpaka mwaka 2100 hivi.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
 
Mungu hayupo hivyo unavyofikiria wewe....ujiandae tuu hakuna namna nyingine zaidi ya CCM kushinda ushindi wa kishindo.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Mungu wetu anapenda HAKI.

Unadhani kupigwa risasi 16 alafu ukaendelea na harakati afanyazo Lissu kila siku ya mungu bila kumpumzika ungeweza kwa nguvu za kibinadamu?


Lissu ni mbeba MAONO na HAFI mpaka YATIMIE.

kubali kataa ukweli ndio huo.
 
Mungu wetu anapenda HAKI.

Unadhani kupigwa risasi 16 alafu ukaendelea na harakati afanyazo Lissu kila siku ya mungu bila kumpumzika ungeweza kwa nguvu za kibinadamu?


Lissu ni mbeba MAONO na HAFI mpaka YATIMIE.

kubali kataa ukweli ndio huo.
Wewe endelea kujifariji unafikiria kuongoza nchi ni kazi nyepesi kiasi cha kumpatia mropokaji?

USHINDI NA CCM NI MAPACHA.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
 
Back
Top Bottom