Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Ni 5 tenaMkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 5 tenaMkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Anachosema kweli 100% Meko alivyokimbilia visiwani alikuwa wa kwanza kusema..Yuko wapi siku 4Unamuamini huyo mtu waporojo?
Doh! Kama ndio think tank wenu huyo basi nyie hamjitambui.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Mulokozi? Wa wapi wewe akina Mulokozi wamemzomea Jiwe juzi na mbunge wa mboga mboga wakamwambia agende? Utakuwa wa Dodoma kwa NdugaiCCM itashinda kwa kishindo hamtaamini
Mkuu roho ya bwana inaniambia kwamba hu mtu muhimu katika taifa hili na unapenda haki Uhuru na maendeleo ya watu tafadhali mkuu usifanye makosa mpe Kura mbeba maono,Kwenu sio kwa CCM, JPM atapata ushindi wa kishindo na kuanzia hapo mtagundua Watanzania wana macho yakuona mazuri ya JPM.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Tatizo kubwa watakalokuwa mwaka huu ni jinsi ya kuiba kuraTuwe wakweli hivi nyomi hili linazidi kweli enzi za lowasa Mimi naamini Kama lowasa hakupita kwa nyomi ile sidhani Kama TL atapita sasa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Polisi niache niende mwanangu ntakupa rushwa√CCM wenyewe kwa sasa wameanza kumshangilia Lissu maana hakuna namna. Hadi polisi wanaogopa kurusha tear gas!
Kuna taarifa kaita wakurugenzi dodomaKule Dodoma sijui wana hali gani akina haraka haraka na mtu wao. Hii imevuraga kabisa mkutano wao wa kesho huko watakakofanyia, mtawasikia wakisema vitu visiyo eleweka na hata kuvunja sheria za uchaguzi kutokana na panic.
Katika panic hiyo wanaweza kuahidi hata kuanza ujenzi wa roketi kubwa (Satellite) na kulirusha anga za mbali ili kumonitor nyendo za wapinzani
[emoji23][emoji23]Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Mungu asikie maombi yetu ya muda mrefu ccm iondoke marakani eehee mwenyezi Mungu jibu maombi haya tumeteseka sanaItoshe tu kusema kuwa roho yangu imefurahi sana. Mungu wa mbinguni, nchi yako imelilia haki. Bwana, tutue huu mzigo waja wako. Tupe kiongozi. Ondoa mnyampara huyu. Amina.
Mungu hayupo hivyo unavyofikiria wewe....ujiandae tuu hakuna namna nyingine zaidi ya CCM kushinda ushindi wa kishindo.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuja Lissu CCM mnalilialia kama yatima.
Toka hapa shetani uende zako.
Huwezi shindana na nguvu ya Mungu aliyemponesha Lissu na risasi zenu 16.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Hiyo sahau, hawezi hawezi tena.
Walipo wanapanga wizi wa kura tu
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).
Result? It doubled.
I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
[/QUOT
EXACTLY ccem now can't breathe
Popote pale la umuhimu ni October 28 hakuna namna itabidi mkubali tuu maana CCM itashinda kwa kishindo.Mulokozi? Wa wapi wewe akina Mulokozi wamemzomea Jiwe juzi na mbunge wa mboga mboga wakamwambia agende? Utakuwa wa Dodoma kwa Ndugai
Iweke hapa mkuuKuna clip Afande kafurahi yupo pamoja na watu anampungia mkono Lissu.
Ni kwasababu Lissu anatetea Maslahi yao ya kuongezewa mishahara.
Mungu wetu anapenda HAKI.Mungu hayupo hivyo unavyofikiria wewe....ujiandae tuu hakuna namna nyingine zaidi ya CCM kushinda ushindi wa kishindo.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Wewe endelea kujifariji unafikiria kuongoza nchi ni kazi nyepesi kiasi cha kumpatia mropokaji?Mungu wetu anapenda HAKI.
Unadhani kupigwa risasi 16 alafu ukaendelea na harakati afanyazo Lissu kila siku ya mungu bila kumpumzika ungeweza kwa nguvu za kibinadamu?
Lissu ni mbeba MAONO na HAFI mpaka YATIMIE.
kubali kataa ukweli ndio huo.