Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

pole sana mwana mwanza, siku zote ukweli huwa unakuwa ni mchungu...
 
Kichwa maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya majinga kutoka huko vijijini yakija kwa shemeji zao yanajikuta yanalijua jiji kumbe mavi tu

View attachment 2592991
Ulivyo mjinga hata Nyumba mwanza huna. Tuna ongea wenye nyumba na plot zetu mwanza. Jitahidi pia usome sana. Coz ujinga ume kujaa kichwani.
 
Ulivyo mjinga hata Nyumba mwanza huna. Tuna ongea wenye nyumba na plot zetu mwanza. Jitahidi pia usome sana. Coz ujinga ume kujaa kichwani.
Jamii forum ina 2+ml members ila huu uzu wako naona mimi ndio nachangia sana wengine wameuona wa kipuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi uzi umedoda wacha nifute michango yangu nisepee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hakika umenena,kumbe umeona hee🙏
mleta mada ni mchunga ng'ombe kutoka mkoa wa Mara huko ila inajifanya mjuaji kumbe"Zero"
 
Barabara za isamilo..kama balewa road na machemba road,,
Barabara ya buzuruga kwenda pasiansi.
Barabara kirumba kwenda bwiru kupitia Kitangiri
Barabara ya mecco to nyakato sokoni
Barabara ya sabasaba to buswelu via kiseke
Barabara ya mwatex to kahama via buswelu
Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forum ina 2+ml members ila huu uzu wako naona mimi ndio nachangia sana wengine wameuona wa kipuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi uzi umedoda wacha nifute michango yangu nisepee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww najua ni mtumishi wa Jiji. Tulia dawa ikuingie[emoji3][emoji3][emoji3]

Huu uzi lengo lake ni viewers, taarifa ifike kwa wahusika ili ww na wapuuzi wenzio mtumbuliwe. Hivyo viewers tiyari ziko zaidi ya 520. Naamini taarifa imewafikia wahusika juu na chini. Wenye kujirekebisha wata jirekebisha. Wajinga baadae watakiona cha moto. Wala hata siitaji hata comment zako zilizo jaa uduwanzi. Mtu anae jisifu ku comment uzi inafaa apimwe akili.
 
Naunga mkono hoja hii🙏🙏
 
Katika vitu serikali ya ccm imefeli ni kwenye suala la mipango miji na matumizi sahihi ya ardhi,mwanza ni jiji la pili linatakiwa lipangwa lipangike.
Mipango miji ni hovyo kabisa, barabara ni bora ya singida kuliko hizi za Mwanza, serikali kwanini haituangalii au ni wapi tumekosea?
 
Big bite- mji mwema mpaka Uhuru street.

zipo kwenye mkakati👉Mkuyuni-Mahina mpaka machinjioni.

Buhongwa-Sahwa-Kishiri mpaka Igoma.
Shinyanga road.
 
Upo sahihi kamanda, kitu cha kutusaidia ni mradi wa tactic ipunguze hii kero, jiji kubwa lakini barabara ni kama tumesaulika, iukienda dodoma au dar then urudi Mwanza utakuja kuona, sisi Mwanza tunasafari ndefu sana kwenye miundombinu.
 
Singida wana barabara zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji linaitaji mtandao wa barabara za kutosha, nakuambia kamanda Mwanza yetu bado sana kwenye barabara ni kama serikli imetusahau, kwasasa Dodoma hatutaifikia kwenye mtandao wa lami za mitaani, na bado wamepewa 50+km za lami na bado wana tactic, ni hekima kuiomba tu serikali itufanyie mazuri.
 
Uzi Moderators wameisha ubandika. Tulia dawa iwaingie. Mmekalia rushwa tu maofisini. Hamfanyi kazi.
Mitaa ya Jiji utadhani ushirombo.
Mwanza jiji haina tofauti na nyancheche tabu sana, me nalia na serikali tu
 
Acha upumbavu, ilo daraja lina umuhimu sana kuliko takataka zingine, shauri bila chuki, kama huwezi kaa pembeni, kwahiyo tumepewa hilo daraja ndio sababu ya sisi tusipewe barabara?
kwakweli Mwanza kwenye barabara na sehemu za maegesho walifeli Kitambo sana. Pesa za daraja la Busisi ni bora zingetumika kutanua na kuboresha mtandao wa Barabara.
 
Punguza chuki kama huna cha kushauri kuna nyuzi za battle, peleka ujinga kwa mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…