ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
mnachoongoza nyie warefu ni huu uchafu si ajabu,huwezi ukuta ushuzi huu Arusha au Highland zone Njombe,Mbeya,SumbawangaTatizo ufupi unakasumbua.
Mwanza watu tuna miili na mashababi kamekuja kakachapwa mabao na mwanamke wa Bugarika
msisahau na kuondoa hii slum tourism hapa chini pia maana daraja halitawasaidiaMkandalasi yuko site ujenzi wa daraja la busisi unaendelea, siku haka kabena ka ChoiceVariable kakipita pale katazimia kwa kuumia roho.
Ntahamia Dodoma kama mkiipita skyline ya Arusha,kwani kwingine wamesimama?Tumetunza post, miaka mitano mingi........
Unataka upakimbie makete [emoji23][emoji23][emoji23]Ntahamia Dodoma kama mkiipita skyline ya Arusha,kwani kwingine wamesimama?
weka picha tuone hiyo six lane ambayo millard ayo hajawahi tuonesha,au six lanes mnayoongoza nyie labda ni hii hapa chini inaitwa slum tourism 😂 😂 😀😀Look at this idiot ahahaha mwanza inaenda six lanes we mtu mfupi vipi
Makete ni kwetu na siwezi kupakimbia hakuna slums tourism kama za huko kwenu..madaraja yatazidi kuwafanya maskini sie tunalima miti na viaziUnataka upakimbie makete [emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu cheki kwa vitu vya kibabe hivyo, mkandalasi yuko site.
View attachment 1496143
😀 😀 😀 😀 💉 💉 💉 💉Kakae kwao hukohuko vimtu vinavaa makoti hadi saa tisa alasiri utafikiri vichuguu
Kahama imeshindwa kuizidi Njombe ndio iizidi Arusha? unaota wewe ..Iringa babyArusha imebebwa na serikali. Mwanza ni jitihada za wananchi kukuza mji...
Mwonekano na maendeleo ya Mwanza ni nguvu za wananchi zaidi wakati Arusha ni uwekezaji wa serikali kuvutia watalii...
In short, isingekuwa serikali kuwekeza Arusha, Arusha ingezidiwa na Kahama...
Very funny,slum identity 😆😆😆😆,kwa hiyo umekubali kwamba mnaongoza kwa umaskini ndio identity yenuWewe mtu mfupi hiyo ni identity ya Mwanza.
Hukokote kuna barabara zimejengwa kwa rocks.
njia sita ziko under construction Mkuyuni kota
.
Ukitaka wanyama pia wapo tena ndani ya jiji na sio mkoani Mwanza
Parachichi ya Njombe utaikuta Ulaya ,china huko wewe tall baki na slum identity yako acha bushmen tuchange mbuga sie ndo ma boss 😂😂😂Ndio maana mnaitwa bushmen's na mlivyo wafupi mkiingia humo kwenye miti hata hatuwaoni.
.
unajisifia kulima mamiti na manumbu wewe mzima kweli ahahaaha
Na hiyo gdp ya mwanza kuna hadi Geita ndio utajua kwamba watu wa huko migodini wana hali gani si ajabu wanashindia mapanki ya sangaraDuuh,mbona gap kubwa hivyo?
Weka na data za per capita income sio GDP tu tunataka kujua inclussiveness ya GDP hapaYeah mkuu Dar es salaam ndo penyewe.
Chukua GDP gawa kwa population.Weka na data za per capita income sio GDP tu tunataka kujua inclussiveness ya GDP hapa
[emoji23][emoji23]mkuu umenikumbusha safari yangu ya mbinga, pia nilikaa kidogo njombe na songea wakati narudi, yaani vimtu vya kule ndoto yao ni kufika dar na Mwanza, kunavijiji vyao ndani ndani redio inayoshika ni tbc taifa na Radio Free Africa live from Mwanza, Tanzania. Mtu kutoka Mwanza ama Dar vinaona Kama vile mtu katoka New York City [emoji3][emoji3][emoji3], vinauliza eti hao watangazaji mnaonana nao kabisa![emoji2][emoji2], Eti hao akina brother K wa futuhi mnakua nao kabisa mtaani!, hiyo startv inakuwajekuwaje yaani watu wako Mwanza tunawaona hadi huku!, Hao jamaa ni shida ChoiceVariable [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kakae kwao hukohuko vimtu vinavaa makoti hadi saa tisa alasiri utafikiri vichuguu
Mtu mfupi na akili fupi, 2019 Geita ilikuwa Mwanza?!Na hiyo gdp ya mwanza kuna hadi Geita ndio utajua kwamba watu wa huko migodini wana hali gani si ajabu wanashindia mapanki ya sangara
Na sangara wa Mwanza je? Kitu cha rwanda Air hapo kikipakia samaki kuelekea ulaya, ebu tuonyeshe hiyo ndege inayopakia parachichi za mia mbili mia mbili kwenda ulayaParachichi ya Njombe utaikuta Ulaya ,china huko wewe tall baki na slum identity yako acha bushmen tuchange mbuga sie ndo ma boss [emoji23][emoji23][emoji23]
Jiji pekee TZ lenye national Park, nilimuonyeshaga hizi Mambo kwenye uzi fulani hivi akaanza kunilitea milima milima ya mbeya akaibatiza national ya park[emoji23][emoji23] kajamaa huwa kanavituko kweli.
Kahama ilizipiga KO njombe+mafinga combined, na mada ulileta mwenyewe ukiipambanisha kahama na vimiji viwili, na ulijua kabisa kahama ni noma ndo maana uliipambanisha na vimiji viwili vya huko kwenu.Kahama imeshindwa kuizidi Njombe ndio iizidi Arusha? unaota wewe ..Iringa baby
Kati ya madaraja yetu na Ukimwi wenu hapo makete ni kipi kinafanya watu kuwa masikini?! Acheni ngono zembe make mmekuwa kiwanda cha kuzalisha mayatima na masikini.Makete ni kwetu na siwezi kupakimbia hakuna slums tourism kama za huko kwenu..madaraja yatazidi kuwafanya maskini sie tunalima miti na viazi