Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

In fact, Arusha imebebwa na serikali..
Zisingekuwa huruma za serikali kujenga kwa ajili, Arusha ingekuwa hoi taaban...
Tofauti na Mwanza, maendeleo ya Mwanza ni makubwa na ni nguvu za wananchi.
Isingekuwa serikali kuwekeza Arusha sababu ya utalii, Arusha ingezidiwa na Kahama
Naunga miguu HOJA, Arusha Nguvu ya GVT ni kubwa sana sana Ila ndugu zetu wenye meno ya kutu ubishi ndio kwao Nimesoma nao Advance aseeeh sijapata kuona Watu wabishi na wenye ujanja wa kipuuuzi Kama Watu wa Arusha!!!

Kuna mahali nilicomment hapo Juu East Africa yote huwa wanaomba Mwanza ndio iwe Makao makuu ni TZ Pekee inakomaa yabaki Arusha!! Hata ukitizama Geographia yake Mwanza ni rahisi kufikika na Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kuliko Arusha!!!
 
Mzee baba huyu ChoiceVariable ni zero brain yani anabishana hadi na dunia.

Jiji la pili kwa ukubwa hapa bongo ni Mwanza
 
Naongezea tu
tapatalk_1565066399744.jpeg
 
Unazijua slums wewe au unabwata tu?
hivi unazungumzia umasikini uliopo Mwanza kama jiji au kama Mkoa wewe mtu mfupi?
watu mumekulia umaskini hadi mnauona ni sehemu ya maisha ya kawaida? kuishi kwenye uchafu kama huo sio umaskini,hii ni hatari sasa..Mwanza jiji plus mkoa mzima ni maskini kama mawazo yako ya kimaskini haya..Hizo slums nimekuonesha ziko wapi kama sio jijini?
 
[emoji23][emoji23]mkuu umenikumbusha safari yangu ya mbinga, pia nilikaa kidogo njombe na songea wakati narudi, yaani vimtu vya kule ndoto yao ni kufika dar na Mwanza, kunavijiji vyao ndani ndani redio inayoshika ni tbc taifa na Radio Free Africa live from Mwanza, Tanzania. Mtu kutoka Mwanza ama Dar vinaona Kama vile mtu katoka New York City [emoji3][emoji3][emoji3], vinauliza eti hao watangazaji mnaonana nao kabisa![emoji2][emoji2], Eti hao akina brother K wa futuhi mnakua nao kabisa mtaani!, hiyo startv inakuwajekuwaje yaani watu wako Mwanza tunawaona hadi huku!, Hao jamaa ni shida ChoiceVariable [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wa sifa hizo wako huko usukumani,ukiacha umaskini mnaongoza kwa ushamba..Sisi watu wa Njombe ndio matajiri wa mikoa ya Mbeya,Iringa,Njombe,Rukwa,Ruvuma na Dar sasa tunaanzaje kushangaa magorofa tunayojenga wenyewe..Bush huko Mwanza kunanuka umaskini nani awaze kuja kwa mfano tuache nchi ya ahadi?
Waeleze na washamba wenzio kwamba njia nzima hukuona nyumba za tembe kama za huko usukumani mnakopigwa na jua hadi akili zinayeyeuka mnaishia kuwa maskini
 
Naunga miguu HOJA, Arusha Nguvu ya GVT ni kubwa sana sana Ila ndugu zetu wenye meno ya kutu ubishi ndio kwao Nimesoma nao Advance aseeeh sijapata kuona Watu wabishi na wenye ujanja wa kipuuuzi Kama Watu wa Arusha!!!

Kuna mahali nilicomment hapo Juu East Africa yote huwa wanaomba Mwanza ndio iwe Makao makuu ni TZ Pekee inakomaa yabaki Arusha!! Hata ukitizama Geographia yake Mwanza ni rahisi kufikika na Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kuliko Arusha!!!
Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
 
Nielekeze kwa hapa Dakota, Minnesota nitapata wapi hilo parachichi?
.
Mwanza inapeleka minofu ya samaki direct to Europe kupitia Mwanza Airport pia inasafirisha bidhaa za ngozi direct from there.
Huko mnakopanga ma box kwenye mall huwa hamyaoni? inaitwa green gold..avocado..nilidhani mnakula minofu kumbe mnakula mapanki minofu mnawapelekea wazungu..pole
 
Watu wa sifa hizo wako huko usukumani,ukiacha umaskini mnaongoza kwa ushamba..Sisi watu wa Njombe ndio matajiri wa mikoa ya Mbeya,Iringa,Njombe,Rukwa,Ruvuma na Dar sasa tunaanzaje kushangaa magorofa tunayojenga wenyewe..Bush huko Mwanza kunanuka umaskini nani awaze kuja kwa mfano tuache nchi ya ahadi?
Waeleze na washamba wenzio kwamba njia nzima hukuona nyumba za tembe kama za huko usukumani mnakopigwa na jua hadi akili zinayeyeuka mnaishia kuwa maskini
Masikini wako huko kwenu makete, huku wengine wakiukimbia umasikini uliotopea wa huko kusini na kumbilia huku kanda ya ziwa kwenye pesa na ndo wanatufanyiaga kazi ngumungumu, ni vifupii afu vimekomaa!
 
Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
Look at mwanza.
images%20(48).jpeg
images%20(47).jpeg
images%20(46).jpeg
images%20(45).jpeg
images%20(43).jpeg
images%20(42).jpeg
images%20(41).jpeg
images%20(40).jpeg
images%20(39).jpeg
images%20(38).jpeg
images%20(37).jpeg
images%20(35).jpeg
images%20(34).jpeg
images%20(33).jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Aliyekuambia mwanza city inacontain misungwi Nani?

Kwa hiyo Arusha city. tuiweke ngorongoro na longido sijui karatu kwenye umaskini wa kutupwa?

Hebu tuliangalie jiji la mwanza Kwanza.sio vijijin huko. Maana Kwa tz mikoa Kilimanjaro na kagera na kidoogo mbeya ndo ina vijiji vilivyojengeka
 
Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
Tazama mji unaosema Una mandhari ya hovyo!!![emoji23][emoji23]
images%20(48).jpeg
 
Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
Eti mandhari mbaya[emoji23][emoji23][emoji23].

Cheki mitaa hii kwanza
tapatalk_1593884692890.jpeg
tapatalk_1593884690910.jpeg
tapatalk_1593884687631.jpeg
tapatalk_1593884697261.jpeg
tapatalk_1593884700229.jpeg
 
Back
Top Bottom