Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,971
Toka umepata picha ya haka kajengo.tutakukoma [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka umepata picha ya haka kajengo.tutakukoma [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Hakuna picha nyingine zaidi ya hilo jengo 😝😝😝😝😝😝, au ndio maskini akipata matako ulia mbwata, kabla ya hilo jengo mlikuwa mnapost nn?
Hako kapicha katapata tabu sana, ukowaambia tupambane kwenye neighbourhoods wanaishia mitini.Toka umepata picha ya haka kajengo.tutakukoma [emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasafari ndefu tatizo mlikimbilia kujenga kwenye cbd tu ona nje ya cbd ni mapori na uswazi, hii arusha ikashindane na sumbawanga.
Hili li mgodi likija kuanza Mwanza itaenda extra mile kwenye uchumi, na GDP ya Mwanza itakuwa pamoja na GDP ya Tanzania kwa ujumla, Mwanza inafunguka sasa, huku sgr, kule kigongo busisi hapa mv Mwanza hapa kazi tu, pembeni sijui masoko,mastendi n.k tupate barabara za uhakika tu tuzidi kufukuza Dar kimya kimya bila kelele.Lake zone mineral belt .... View attachment 2269096