Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Sasa kuna nini hapo cha maana? Kumechakaa kumepauka hadi aibu..

Ujue ni aibu kusema Mwanza ni Jiji la pili Kwa ukubwa Tanzania ilhali tukiingia kwenye battles za EAC cities,Dar,Arusha na Dom ndio wanaweza kushindana na Miji hasa ya Kenya kuanzia mandhari,mpangikio, miundombinu na umuhimu wa Jiji kiuchumi na Kimataifa..

Mwanza inaleta aibu Sana.
 
Dodoma na Arusha ninazozifahamu ,[emoji3] ..atleast Dodoma baada ya miaka kadhaa then pitia hii bajeti ya wizara ya ujenzi ...ndo utujue soon Dodoma anawakalisha
Screenshot_20220612-091227.jpg
 
Soma hyo attachment na unambie Lin mtajengew flyover
Mabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..

Kwa kutumia logic hiyo hiyo Na wewe nikuulize ni lini mtajengewa barabara ya njia 4 yenye km 29 kama hii ya Mbeya?👇
 
Attachments

  • IMG-20220608-WA0014.jpg
    IMG-20220608-WA0014.jpg
    56.5 KB · Views: 32
Mabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..

Kwa kutumia logic hiyo hiyo Na wewe nikuulize ni lini mtajengewa barabara ya njia 4 yenye km 29 kama hii ya Mbeya?[emoji116]
Yaani unachekesha , serikali tayari ishamaliza fesability study .ujenzi wa barabara ya town Hadi usagara km 25 ...njia nne ,,,,muda wowote inatangazwa tender .... fesability study nyingine inamaliziwa ujenzi wa by pass ya mkuyuni to Nyakato km 10 ...ujenzi wa bypass mpya Buhongwa to Igoma km 17 unaanza mwaka huu
 
Mabey flyover unaijua kwanza? Kujengwa ni suala la Bajeti tuu..

Kwa kutumia logic hiyo hiyo Na wewe nikuulize ni lini mtajengewa barabara ya njia 4 yenye km 29 kama hii ya Mbeya?[emoji116]
Tena ustake kuzungumzia mbeya ,,,,,haina hata hadhi ya kufungulia kamba viatu vya mwanza
 
Mrushie na mpicha wa Nyege Nyegezi Bus stand hallooooo

Ili muende sawa mtafutie hata picha la google la Stands la Chugaaa hallooooo [emoji1][emoji1][emoji1]
Kashakimbia..hana hoja ,,,ya Nyegezi naitafuta nzuri ,,,,,nimletee ,maana anajifanya mpotoshaji sana
 
Mkutano wa shirikisho la soka Afrika yaani CAF kufanya mkutano kwenye.jiji zuri la Arusha..

Mikutano ya high profile kama hii huwezi Kuta inafanyika kwenye Vijijini vya Wavuvi kama Mwanza 😬😬

Sio mimi ni CAF walioandika 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220621-130418.png
    Screenshot_20220621-130418.png
    118.3 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220621-130418.png
    Screenshot_20220621-130418.png
    118.3 KB · Views: 32
Back
Top Bottom