Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Kumbe unamatatizo ya kichwa Tanzania hakuna company inayotengezeza magari ila hao wanarekebisha mabodi kama Mwanza kuna compuny inaitwa west land ndo kazi yao ndo maana yanabaki na business name ya TOYOTA.Ila Mwanza kuna international company inaitwa Songoro Marine Company inatengeza Meli afrika mashariki nakati.Haaaaa tupicha huwa ni tule tule kwenye angle tofauti maana hakuna jipya huko kwenye mwalo wa wavuvi..
RSA watengenezaji wa magri ya kitalii EAC nzima ndani ya Arusha 👇
View attachment 2207350
View attachment 2207351
View attachment 2207352