Kuna watu vilaza sana! hv kweli unaweza kufananisha jiji lenye manispaa mbili na jiji ambalo halina hata manispaa moja?
jiji la Mwanza lina manispaa mbili , Arusha halina hata manispaa halafu bado mnashindanisha hivi kweli hiyo akili?
Jiji la Arusha halina hata kiwanja cha ndege, kakiwanja kadogo hatar kanatua bombadia tu hakuna hata ndege moja ya kimataifa inayoweza kutua pale, unataka ufananishe na jiji ambalo international flight zinatua na kuna kiwanja cha kimataifa
jiji la Arusha halina hata bandar ufananishe na jiji ambalo lina bandar ambayo inaingiza pesa za kutosha
jiji mpaka leo mnaoga beach za kwwnye mto....Mwanza fukwe kibao
jiji halina hata bank kuu mnataka mfananishe na jiji lenye bank kuu
jiji halina hata usafiri wa reli unataka ufananishe na jiji ambalo lina reli ya kati na ya mwendo kasi
jiji mpaka leo halina hata stand wala masoko ya kisasa ufananishe na jiji ambalolina standa nyingi za kisasa & masoko pia,
ukiangalia website ya Atcl mwanza - dar kwenye domestic flight ndio root kubwa na sio Arusha
Acheni kufananisha huo uchafu na Mwanza jamani
tangu sensa ya mwaka 1962 mpaka 2012 Mwanza haijawahi kutoka kwenye namba mbili
bado vinakuja vijitu vinataka kuifananisha mwanza na Arusha
Arusha ukitoka umbali wa km1 tu nje ya mji unakuta migomba mitupu
msirudie tena kuifananisha mwanza na Arusha