Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mwanza kuna usalama gani kuizidi arusha..?hata leo hii kuna mauaji mengine yanaripotiwa yametokea huko huko...suala la uchumi mbona record za TRA zinaonyesha arusha inakusanya kodi kubwa kuliko mwanza au huo uchumi wa mwanza mmeupima vp ukawa mkubwa kwa wa arusha.
acha uongo wewe, mwanza ndio mji wa pili tanzania kwenye kuchangia pato la taifa
 
Hii ligi mbona tulishaimaliza kitambo sana au muanzisha thread ni mgeni hapa jf....!arusha inazidiwa na mwanza population tu kwa sasa....!
population wakati takwimu za kiserikali zinasema mwanza ni baada ya dar

sensa zote zilizofanyika mwanza ni second city sasa wews hizo taarifa zimetoka wapi
 
Acha upumbavu,Mkoa wa Mwanza ndio wa pili sio Jiji la Mwanza.
sasa matusi ya nini the sunk? hilo ndio tatizo lako yaan wewe unajifanyaga unajua sana kutukana, hapa sio mahali pake kaka, poa bas mi mpumbavu halafu we mwelevu, ila kaa ukijua Arusha haiikuti mwanza hata kidogo

halafu nashangaaga sana kwenye hii ligi watu huwa wanapenda sana kuiponda mwanza wakati hakuna hata sensa moja ya watu na makazi iliyoonesha kushuka kwa mwanza

sensa zote za makazi zinasema Mwanza ni second city hapa bongo na sensa ya mwisho ni 2012 sasa hizo taarifa za Arusha kuizid mwanza mnazitoa wapi?
 
Huyo huwa haelewi anacho andika ili mradi haipondee tu mwanza, huyu jamaa ni rival wa mwanza, yeye si mkazi wa arusha wala dodoma lakini anajifanya anajua kila kitu kuhusu hayo majiji, na nina huakika hajawahi kutoka nje ya njombe.
 
sasa matusi ya nini the sunk? hilo ndio tatizo lako yaan wewe unajifanyaga unajua sana kutukana, hapa sio mahali pake kaka, poa bas mi mpumbavu halafu we mwelevu, ila kaa ukijua Arusha haiikuti mwanza hata kidogo

halafu nashangaaga sana kwenye hii ligi watu huwa wanapenda sana kuiponda mwanza wakati hakuna hata sensa moja ya watu na makazi iliyoonesha kushuka kwa mwanza

sensa zote za makazi zinasema Mwanza ni second city hapa bongo na sensa ya mwisho ni 2012 sasa hizo taarifa za Arusha kuizid mwanza mnazitoa wapi?
Halafu hajui kwamba jiji la Mwanza ni wilaya nyamagana bila kujumlisha na Manspaa ya Ilemela. Mwanza ni habari nyingine asilinganishe na hicho kijiji chenye migomba mpaka mjini. Arusha ligi yake ni kina Morogoro na Kahama.
 
Acha upumbavu,Mkoa wa Mwanza ndio wa pili sio Jiji la Mwanza.
Wewe ni kama mwanamke mjamzito unatema tema mate hovyo, kule umeshindwa umeamua kukimbilia huku. Halafu sitaki mniquote kwenye page za kifala kama hii ambazo boya huyu ndo mwendesha maada.
 
Halafu hajui kwamba jiji la Mwanza ni wilaya nyamagana bila kujumlisha na Manspaa ya Ilemela. Mwanza ni habari nyingine asilinganishe na hicho kijiji chenye migomba mpaka mjini. Arusha ligi yake ni kina Morogoro na Kahama.
Habari nyingine kwa umaskini na slums.

Onyesha barabara kama hii hapo uswazi city of mwanza👇

1645617478559.png
 
Wewe ni kama mwanamke mjamzito unatema tema mate hovyo, kule umeshindwa umeamua kukimbilia huku. Halafu sitaki mniquote kwenye page za kifala kama hii ambazo boya huyu ndo mwendesha maada.
Huyo jamaa huwa nashindwa kumwelewa ni kipi kilimsababishia adi kuichukia mwanza na kanda ya ziwa bila sababu za msingi.
 
Sijaelewa hata unashindanisha miji au utalii... Maana kama utalii Arusha labda usishindane na Zanzibar
 
Back
Top Bottom