Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Mwanza the second largest city in Tanzania.
Arusha bwana! We mwenyewe si umeona eeh
Mwanza the second largest city in Tanzania.
I have been in both cities bt hakuna kama dar ila kiuchumi nenda na kimaendeleo fasta utafanikiwa.
Arusha mji wa kitalii atii
mwanza is the best achen ubish wa kijinga,unaposema wagen wakfka wanafkia arusha unamana gani si huko ni sehem ya utalii but kwa uzuri arusha haitii tim kwa mwanza hata siku 1,kila siku mwanza inabadirika niny.
Who said soMwanza the second largest city in Tanzania.
Government...Who said so
Acha uongo ww mwanza gani hyo ama unasimuliwa tu unakuja na point zako zisizo na maaanaMwanza kuna joto kama dsm na kuna nuka Sanaa hakufai
Unapo ilinganisha Mwanza na Arusha lazma ulinganishe majibu yako katika category ipi ndo utoe jibu.Nataka nikaanze maisha mapya moja kati ya sehemu hzo mbili.Uzuri niusemao mazingira,kuendelea kiuchumi,afya nk
Njoo PMOn my to Mwanza, maeneo gani standard ya kuishi? Na bei ya rent inakuwaje kwa mtu wa kipato cha kati
Makusanyo na mapato ya arusha ni kutoka kwenye utalii pekee jambo ambalo mwanza inalizd kua na vyanzo vingi vya mapato,Mwanza kuna usalama gani kuizidi arusha..?hata leo hii kuna mauaji mengine yanaripotiwa yametokea huko huko...suala la uchumi mbona record za TRA zinaonyesha arusha inakusanya kodi kubwa kuliko mwanza au huo uchumi wa mwanza mmeupima vp ukawa mkubwa kwa wa arusha.