Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Makusanyo na mapato ya arusha ni kutoka kwenye utalii pekee jambo ambalo mwanza inalizd kua na vyanzo vingi vya mapato,
ninapo sema mwanza ina izd Arusha kwa usalama ni kua hakuna vtu vya ajabu ajabu wizi,uporaji,unyang'anyi wa kijinga jinga na ubabe usio kua na maana mwanza watu wamestaarabika sana sio wanywa viroba na wavuta bangi kushnda vijiwen na kukaba watu.
mauwaji ni jambo la emergency tu na linaweza tokea popote ila rate ni ndgo na tukio kama hilo watu wa mwanza lazma washangae.
mwanza milio ya risasi n jambo geni sana na kwanza haliwez tokea mchana ila Arusha mchana kweupe milio ya risasi unasikia na yanatokea mara kwa mara tu.
watu wa kaskazini mtake msitake hampend kusikia mahali panawazidi ila ukweli ndo huo Jumlisha idadi ya watu wa Arusha na Kilimanjaro ndo population kama vle ya mwanza tu so huwez linganisha hata kidgo.
Unazungumzia arusha ya mwaka gani....hayo matukio unayodai kwann hatuyasikii kwenye media wewe mwenyew tu ndo unayaon...hebu nipe tukio lolote la hivi karbun la mauaji au milio ya hizo risasi lakini mwanza daily tunasikia matukio ya mauji leo hii tu kuna binti anaripotiwa kubakwa na kuuliwa kinyama....unadai uchumi wa arusha unategemea utalii hiyo ni sawa na kusema uchumi wa mwanza unategemea ziwa..!
 
sijawahi fika mwanza ila chuga nimekaa sana, kule kila mtu anayo niaje yani ukizengua tu wanakufanya hamna. Kula mtu anajiamini afu ukizengu dakika sifuri unaeza pigwa beto. Chuga ndo mpango mzima izo sehemu zingine wanaume walaini ka mafuta
 
Ghana,kilamahewa,nyegezi,nyakato,igoma, buswelu, national kote fresh kwa mtu wa kiwango cha kati.....Nyumba inategemea wataka ya aina gani...ila 2.5m unapata vyumba viwili or vitatu self...kwingine unaweza pata hata kwa 1.8 kwa mwanza nazungumzia...ina kilimahewa check vizuri nyumba zingine zimejengwa juu ya majaruba wakati wa mvua ni balaa..
Tatizo la Mwanza ni milima yenye mawe...... unaweza kununua gari na isifike kwako milele.
 
c4b51aee93da38fc847b381cf0610610.jpg
Mwanza Mabatini area
de15c9205b8d479051e604cb5774bad5.jpg
Mwanza mjini Kati Picha ya samaki au mzunguko
0c7e719ef814931367b5be1b592bc581.jpg
mwanza round about ya kemondo/CCM mkoa
b4ff2d1edccef13afdf55c641de27d1d.jpg
mwanza Nyerere road,Makoroboi,Liberty
e89e8c5347a66fe4103fe9e9f383b1de.jpg
Arusha mjini Kati
3863556985565d0f6319a149e24f13f5.jpg
Arusha mjini Kati Clock Tower
2197bcb75c3989d202ddb4f015413215.jpg
Arusha mount Meru view

Tufunguke wadau Arusha na Mwanza wapi Kuzuri wapi kuna wajanja
 
Nimekaa sehemu zote mbili mwanza na Arusha.

Binafsi nilipapenda saana Mwanza maisha ni easy and free watu Bado wana ubinadamu na pia watu hawako aggressive linapokuja suala la kutafuta maisha kwa hiyo ukiwa opportunist mzuri utaziona hela zako kila pahali tofauti na Arusha kila mtu anaijua hela.

Mwanza hela yake ni rahisi kuipata..Arusha mpaka uipate shekeli umeimba halleluya..!

Hata remmy aliiimba Mwanza ni mji mzuri..! Hii ni hakika Mwanza ni mji mzuri muulize hata Fid Q..atakwambia Mwanza Mwanza...

Zingatia ukifika mwanza inabidi uianze usipoianza itakuanza na hapo ndipo kichwa kitakuwanga.
 
Hajatuma picha za watu yy anataka kujua wapi pako vzr ki miundombinu yani panavutia machoni
 
Nimekaa sehemu zote mbili mwanza na Arusha.

Binafsi nilipapenda saana Mwanza maisha ni easy and free watu Bado wana ubinadamu na pia watu hawako aggressive linapokuja suala la kutafuta maisha kwa hiyo ukiwa opportunist mzuri utaziona hela zako kila pahali tofauti na Arusha kila mtu anaijua hela.

Mwanza hela yake ni rahisi kuipata..Arusha mpaka uipate shekeli umeimba halleluya..!

Hata remmy aliiimba Mwanza ni mji mzuri..! Hii ni hakika Mwanza ni mji mzuri muulize hata Fid Q..atakwambia Mwanza Mwanza...

Zingatia ukifika mwanza inabidi uianze usipoianza itakuanza na hapo ndipo kichwa kitakuwanga.
baby kumbe unaishi mwanza?
 
Yeaah bae! I'm the rock city native, Mwanza ndipo ambapo huge Mansion yetu ipo, Dar tunakujaga tu one time kwa ajili ya mitkasi ya business.

Lini unakuja Mwanza baby boo nikikurimu kwa level ya malaika ili niwin heart yako kabsaaa. Lol!
nitakuja tu one day inshalah love!
 
Nimekaa sehemu zote mbili mwanza na Arusha.

Binafsi nilipapenda saana Mwanza maisha ni easy and free watu Bado wana ubinadamu na pia watu hawako aggressive linapokuja suala la kutafuta maisha kwa hiyo ukiwa opportunist mzuri utaziona hela zako kila pahali tofauti na Arusha kila mtu anaijua hela.

Mwanza hela yake ni rahisi kuipata..Arusha mpaka uipate shekeli umeimba halleluya..!

Hata remmy aliiimba Mwanza ni mji mzuri..! Hii ni hakika Mwanza ni mji mzuri muulize hata Fid Q..atakwambia Mwanza Mwanza...

Zingatia ukifika mwanza inabidi uianze usipoianza itakuanza na hapo ndipo kichwa kitakuwanga.
Uko sawa mkuu mwenyewe nimeishi mwanza na arusha Mwanza kuko njema sana
 
c4b51aee93da38fc847b381cf0610610.jpg
Mwanza Mabatini area
de15c9205b8d479051e604cb5774bad5.jpg
Mwanza mjini Kati Picha ya samaki au mzunguko
0c7e719ef814931367b5be1b592bc581.jpg
mwanza round about ya kemondo/CCM mkoa
b4ff2d1edccef13afdf55c641de27d1d.jpg
mwanza Nyerere road,Makoroboi,Liberty
e89e8c5347a66fe4103fe9e9f383b1de.jpg
Arusha mjini Kati
3863556985565d0f6319a149e24f13f5.jpg
Arusha mjini Kati Clock Tower
2197bcb75c3989d202ddb4f015413215.jpg
Arusha mount Meru view

Tufunguke wadau Arusha na Mwanza wapi Kuzuri wapi kuna wajanja
Fanya kazi kutafuta pesa kuondoa umasikini Africa hususani Tanzania,hbr ya wapi kuzuri haina msingi,Tanzania ni moja.
Haka ka mada unajua wazi hua kanaleta ubishi mwingi humu ndani,watu wanapoteza muda wa kufanya kazi,mimi hapa naishi Mwanza,na kazi zingine nazifanyia Arusha,najua A to Z lakini kuanza kubishania ndo nini.
 
Kati ya Mwanza na Arusha mi naona Dar ndio kuzuri maana hata maharage uliyopika hayana chumvi kabisa mkuu..! Hebu chukulia Ali Kiba na Diamond wapige Collabo unadhani Chid Benz ataacha madawa ya kulevya?
Hilo suala haliwezekani maana hata wanafunzi wa vyuo mikopo ndio kilio chao..!
[emoji38]

ni nani anaeingiza madawa nchini jamani, hebu ona ninachoandika..!
Kila kitu kina mwisho wake..
Mungu tuokoe hiki kizazi, Tunaangamia wanao..
R.I.P ngwea
Hii kali
 
c4b51aee93da38fc847b381cf0610610.jpg
Mwanza Mabatini area
de15c9205b8d479051e604cb5774bad5.jpg
Mwanza mjini Kati Picha ya samaki au mzunguko
0c7e719ef814931367b5be1b592bc581.jpg
mwanza round about ya kemondo/CCM mkoa
b4ff2d1edccef13afdf55c641de27d1d.jpg
mwanza Nyerere road,Makoroboi,Liberty
e89e8c5347a66fe4103fe9e9f383b1de.jpg
Arusha mjini Kati
3863556985565d0f6319a149e24f13f5.jpg
Arusha mjini Kati Clock Tower
2197bcb75c3989d202ddb4f015413215.jpg
Arusha mount Meru view

Tufunguke wadau Arusha na Mwanza wapi Kuzuri wapi kuna wajanja
Ni vema ungelinganisha Mwanza ama Arusha na majiji mengine ya nje ya Tanzania kama vile Nairobi, Kampala , Kigali nk Ila Mwanza vs Arusha wote ni wagonjwa mahututi na wamekataa uji, style za uongozi ni zile zile, watendaji ni walewale hamna jipya kote.
 
Mwanza mbomba hata starehe zako unakula kwa raha, Arusha inabidi uwe active muda wote, ukikaa na demu anakupigia mahesab u akuibie, unaokunywa nao jirani wanaku discuss wakuibie kama siyo kuletewa kasheshe fake kuwa uko na mke wa mtu wanataka fidia.
 
Back
Top Bottom