Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Hahaaaa hembu waulize kwa nini hawana vyoo
Wamegeuza ziwa choo....kwanza mwanza ni miongoni mwa mikoa maskini tanzania...TRA wanaonyesha mwanza inazidiwa na arusha kwa ukusanyaji wa kodi,,nashangaa wanapata wapi jeuri ya kuanzisha thread za kujilinganisha arusha!
 
Arusha mpya
tapatalk_1474877072987_zpsdkq1d6ql.jpeg
 
Mi mkazi wa arusha, lakini napapenda mwanza kuliko hata dar. Mara ya kwanza kufika mwanza nilipainjoy sana kuliko mji wowote ule. Mwz ni pana mji hauko sehem moja km arusha au hata Nairobi mnasongamana mahali moja. Mwz unaweza lala hoteli nzuri tu hata kwa buku 35.
 
ARUSHA ni mji usiokuwa na milima ulipangwa vizuri mwanzoni, ila sasa umevurugika, hauna barabara za kutosha ndio maana husababisha misongamano ya ajabu ajabu
Mji wowote mkubwa lazima uwe na mishe mishe barabarani nyakati za asubuhi na jioni....arusha barabara zipo mpaka zinamwagika...!
 
Arusha wezi sana, visu na bastola nje nje, ukiwa na milioni tu unaitwa bilionea.
 
Back
Top Bottom