Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

224261b51b5dbad903e347d2daa062b4.jpg
94e26542b2499c7b2b80487019addf8f.jpg
mwanza
 
Arusha Geneva of Africa, Jiji linajulikana mpaka kimataifa. Wamekuja ma Rais wa Marekani George Bush, Bill Clinton walifika majiji makubwa Dar na Arusha. Hata East Africa tu hawaijui Mwanza. Mwanza hamna kitu huko, waSukuma kibao huko washamba bado hawajaendelea. Arusha pamekosa Ziwa tu. Pangefunika mpaka Dar!

View attachment 454806 View attachment 454807 View attachment 454808
View attachment 454811 View attachment 454812 View attachment 454810 View attachment 454809 View attachment 454815 View attachment 454816 View attachment 454817 View attachment 454818
Hapa ni ARUSHA au USA ?[emoji15] [emoji15]

Hata hali ya hewa ni bomba, na hiyo green ndio daah!!!
 
Hebu acheni kufananisha Mwanza na mambo ya kijinga bana
 
Eti leo hii mwehu mmoja alievimbilwa maharage anakuja kushindanisha RockCity na Chuga!!!

Pande zote ni kwangu ni maskani!
Chuga wanaishi wehu na malaika wa shetani ila Rockcity kutaendelea kuwa na waungwana watu wenye roho za utu!!!
 
Lemi ongala alitoa jibu. Arusha ni wakina Hidaya tu wa Pepe kale.
 
Nimekaa sehemu zote mbili mwanza na Arusha.

Binafsi nilipapenda saana Mwanza maisha ni easy and free watu Bado wana ubinadamu na pia watu hawako aggressive linapokuja suala la kutafuta maisha kwa hiyo ukiwa opportunist mzuri utaziona hela zako kila pahali tofauti na Arusha kila mtu anaijua hela.

Mwanza hela yake ni rahisi kuipata..Arusha mpaka uipate shekeli umeimba halleluya..!

Hata remmy aliiimba Mwanza ni mji mzuri..! Hii ni hakika Mwanza ni mji mzuri muulize hata Fid Q..atakwambia Mwanza Mwanza...

Zingatia ukifika mwanza inabidi uianze usipoianza itakuanza na hapo ndipo kichwa kitakuwanga.
Getegete nahenne mayuuu,lishindo lya ng"waso,ole nchiro chiro mabolo gawiza nyanookooo.
 
mwanza swaafi kabisa waweza ishi kwa raha mustarehe ukipunga upepo wa ziwa toka kapiripoint ikulu ya raisi
pia mazingira saafi kabisa na miundombinu muruaa kabisa nyakati za usiku jiji tulivuuu kabisaa rahaa kuwaona watu wake wana stakhaaa

dah kwakweli mwanza ni swalaaa naagiza ndovu bariiidi nipoze koo kidogo ndani ya malaika beach
Mwanza tomanookooooooooooo,lishindo lya ngwasooooooo.
 
Acha kuifananisha Arusha na vitu vya kijinga
Hahahaa
Mimi hapa nchi sijafika Sumbawanga pekee tu, kwa hiyo usinishawishi kwamba ARUSHA kuna barabara, kwa kifupi mimi ni Afisa Mipango miji.Ramani za miji tunayo.
Dar vipi imejitosheleza eeh!! Huko posta vile vichochoro Afisa ulishavijengea flyovers au subways vipi huko kariakoo barabara ni pana eeh??

Barabara Dar ni old bagamoyo na pugu tu.
 
Mwanza is the best jamani arusha hakuna kitu kimiundombinu mwanza is the best kiutafutaji mwanza is the best haya wale mnaopenda anasa mwanza is the best sema arusha totoz za kimburu zile ebwana hatariiii
 
Back
Top Bottom