Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Ni kosa is jinai kuifananisha Arusha na kamtaa kama mwanza ...ni kosa kubwa sana aisee ....mii mtu ya mwanza ikimwona tu mzungu inamshangaaaa...akati chuga kuna wazungu mpk wengine ni mafundi baiskelii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] proudly A city boy
 
Fanya kazi kutafuta pesa kuondoa umasikini Africa hususani Tanzania,hbr ya wapi kuzuri haina msingi,Tanzania ni moja.
Haka ka mada unajua wazi hua kanaleta ubishi mwingi humu ndani,watu wanapoteza muda wa kufanya kazi,mimi hapa naishi Mwanza,na kazi zingine nazifanyia Arusha,najua A to Z lakini kuanza kubishania ndo nini.
Hapo hapo...umemaliza
 
88277c8e5e58f6ae5ade399bed12a6d8.jpg
d93cac2f1014a74128e4cbfc2b04aa51.jpg
b1ff08a07d3c514b804310668ce71f81.jpg
5e99779a11d3d60e79a61ee2624680ba.jpg

Af ulinganishe na ar?
Mbona pa kawaida saana bora ungejuwekea ile mimawe ya miamba tungeona utofauti mana Arusha hakuna huyo makitu
 
Arusha ingepangiliwa strategically ilitakiwa iizidi mpaka Nairobi kwa mpangilio mvuto na unadhifu!
Sasa wewe shuleni umekimbia ulitaka apange nani? Mngeenda shule mngepanga akuna wa kumlaumu mtu apa
 
Tunahitaji kuwa na miji mizuri kila kona ya nchi yetu kama wenzetu South Africa, karibu kila mahali ni pazuri, kimsingi hapa tunashindanisha vi-miji vyetu vidogo vyenye radius isiyozidi ata kilometre tatu vyenye vumbi kila kona
Lakini kumbuka hiyo ndio miji yako. Kama kwako kubovu solution sio kutamani kwa jirani.Jitutumue na wewe kwako kuwe kuzuri kulingana na uwezo wako
 
Ni vema ungelinganisha Mwanza ama Arusha na majiji mengine ya nje ya Tanzania kama vile Nairobi, Kampala , Kigali nk Ila Mwanza vs Arusha wote ni wagonjwa mahututi na wamekataa uji, style za uongozi ni zile zile, watendaji ni walewale hamna jipya kote.
Mbona maputo-Msumbiji hamuiongelei mmekariri tu Nairobi? Maputo is one of well planned and developed city in eastern Afrika!
 
Back
Top Bottom