mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Naona mawe tu hapo kisa cha kujifia nini humo hukosi koboko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwanza
Naona mawe tu hapo kisa cha kujifia nini humo hukosi koboko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwanza
Mje Arusha (kura Maisha)- le mutuz!!
Sasa hapo kuna tofauti gani na Ulaya
Anye milimani,achambe na mabunzi ya mahindi.Hahahahahaha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Abakie hukohuko anye ziwani
and that's rock city boyNaona mawe tu hapo kisa cha kujifia nini humo hukosi koboko
Arusha ndio Geneva ndogo hutaki unaachaand that's rock city boy
Wewe tushakujua una kihoro wa watu wa kulee wala hatukushangaiBora mwanza
Ulishindwa ule uzi Wa moshi na bk baada ya kuiona bk halisi hivyo ndo ilivyoWewe tushakujua una kihoro wa watu wa kulee wala hatukushangai
Mkuu naishi arusha mtaa Wa kwa mromboo ni mzaliwa Wa tangaWewe tushakujua una kihoro wa watu wa kulee wala hatukushangai
Arusha unaijulia wapi wewe mtu wa chato...!Mkuu naishi arusha mtaa Wa kwa mromboo ni mzaliwa Wa tanga
Sasa hapo kuna nn cha kulinganisha na arusha![]()
![]()
![]()
![]()
Af ulinganishe na ar?