Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mwanza vs Dar es salaam ningeelewa!
Level ya Arusha ni Mbeya

Watu wa Mwanza ukiwaonesha hii watakwambis hapo ni Brooklyn US maana magari kama haya wamezoe kuyaona kwenye movie..teh teh
6.jpg
 
Mji wowote mkubwa lazima uwe na mishe mishe barabarani nyakati za asubuhi na jioni....arusha barabara zipo mpaka zinamwagika...!
Mimi hapa nchi sijafika Sumbawanga pekee tu, kwa hiyo usinishawishi kwamba ARUSHA kuna barabara, kwa kifupi mimi ni Afisa Mipango miji.Ramani za miji tunayo.
 
Back
Top Bottom