Mwanza na arusha ni vi2 viwili tofautHizi league hazikauki hapa JF jamani kila siku Mwanza vs Arusha? After all Arusha always wins.
Hahaaa iwe waboomaa wakora waituuu acha.mbwembwe kasaidie ndugu zako kagera.Arusha hakuna jipya kabisa labda kwa ambao hawajafika
Over Swiss kijani kibiiichii mji umepangika mauwa ya kila aina ndege wa kila aina ara chugga mpo juu Mwanza huwa nashaangaa yale mawe tu.