The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
Mzii kwetu karibu sana, mi nakaa mabatini...karibu na town
On my to Mwanza, maeneo gani standard ya kuishi? Na bei ya rent inakuwaje kwa mtu wa kipato cha kati
On my to Mwanza, maeneo gani standard ya kuishi? Na bei ya rent inakuwaje kwa mtu wa kipato cha kati
ngoja nimalizie hii supu ya mkia....nakurudia.....
Ghana,kilamahewa,nyegezi,nyakato,igoma, buswelu, national kote fresh kwa mtu wa kiwango cha kati.....Nyumba inategemea wataka ya aina gani...ila 2.5m unapata vyumba viwili or vitatu self...kwingine unaweza pata hata kwa 1.8 kwa mwanza nazungumzia...ina kilimahewa check vizuri nyumba zingine zimejengwa juu ya majaruba wakati wa mvua ni balaa..
ukitafta nyumba tafta maeneo ya barabara ya airport ndo hakuna foleni pia unapata access nzuri ya kufika town. BTW barabara ya airport ndo kunaitwa mjini na pia kuna tetesi kwamba mji utahamia igombe nyuma ya airport! karibu the ROCK CITY MKUU..... Masamaki yapo mengi, masatu na masangara yapo ya kumwaga!
karb wenyej tupo km vp tukupe na madalali wa ukwel. ukija kichwa kichwa utakumbana na matapeli!
aisee kumbe nako kuna matapeli
Rock Ciry si ndiyo Biriani Babaa!
Sasa usiniulize nini Makande !
Wenyewe wana midomo hao!
Hazipiti dkk 10 watauzingira Uzi kama mpira wa ko....