NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Kama wewe jamaa sio mtu mzuri.unapiga kama unau nyoka.Nilikutana nae kwenye uzi wa Kahama V/S NJOMBE + MAFINGA, tukamchapa.
Kama wewe jamaa sio mtu mzuri.unapiga kama unau nyoka.Nilikutana nae kwenye uzi wa Kahama V/S NJOMBE + MAFINGA, tukamchapa.
Wewe jamaa sio mzima kichwani!sema jiji la pili kwa ukubwa wa umaskini Tzn ni Mwanza,mambo ya kubishana na dunia ndio nini
Aliyekuambia mwanza city inacontain misungwi Nani?
Kwa hiyo Arusha city. tuiweke ngorongoro na longido sijui karatu kwenye umaskini wa kutupwa?
Hebu tuliangalie jiji la mwanza Kwanza.sio vijijin huko. Maana Kwa tz mikoa Kilimanjaro na kagera na kidoogo mbeya ndo ina vijiji vilivyojengeka
Sio kweliView attachment 1496156
Huu mzigo unakuja na 6 lane kutoka Usagara, ongea lingine.
mwanza kumejaa maskini saaana,sawa mimi ni mfupi saaaana ,sasa mimi mfupi wewe mrefu haya niambie umenufaikaje na urefu nwako na ufupi wangu,pili mimi nimepata hasara gani kwa ufupi wangu na urefu wako?Wewe jamaa sio mzima kichwani!
Helafu nilichokigundua ni kuwa kweli wewe ni mtu mfupi sana kama jamaa hapo juu wanaposema!
Ngoja nkusaidie unaposema Mwanza ni kuchafu huelewi mambo yanavyoenda kwa taarifa yako Mwanza ndo jiji linaloongoza kwa usafi Tz miaka nenda miaka rudi utabisha na hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Green gold utaiona endelea kufungua ma box,zingne ziko branded kama made in Kenya but ni kutoka Njombe na Rungwe,for sure zaidi ziko China, huko kwenu mnakobaguliwa kama mbwa pengine hamna pesa za ku afford kuzinunua mnaishia kuimba black lives matter ili muhurumiwe but sio miaka mingi utaanza kuziona piaSijawahi kuona parachichi kutoka Tanzania wala brand ya bidhaa yoyote kutoka Tz hapa Minnesota.
.
Pengine hadi maisha yarejee kama awali tamasha la bidhaa la Africa lifanyike naweza kubahatisha mtu mfupi!
BTW nani alikudanganya Mwanza hailiwi minofu?
au unafikiri kama wewe wa Mbinga huko unaletewa Sangara, Sato na Mumi wameshachina au wamekosa radha kabisa kwa sababu ya mabarafu?
Fungueni Uzi wa Mbeya na Arusha
Kwa kutumia vigezo gani?Wakuu tunafunga uzi, Tunaanza DAR-MWZ-ARUSHA-MBEYA-TANGA-MOROGORO-DODOMA
vyote uvijuavyoKwa kutumia vigezo gani?
DODOMA ndio watu wenye uelewa sana wa siasa, wao ni kijanii tu na kuombaomba nchi nzima, na wameridhika.Wakuu tunafunga uzi, Tunaanza DAR-MWZ-ARUSHA-MBEYA-TANGA-MOROGORO-DODOMA
Nimeishi Arusha miaka7,nimeishi pia Mwanza-Arusha huwez ilingansha na Mwanza sema watu wake ndio huwa wanajtaidi kupambania Arusha nayo ionekane kama niJiji zuri lakn Arusha ata kwambeya Bado naweza mpa mbeya sifa,wenye kumbukumbu nazani mnakumbuka Arusha imetangazwa jiji mwaka2012 tena jakaya ndio alienda kuzndua ikiwemo pamoja na barabara ya Arusha to babati,wakati huwa Mwanza niJiji toka mwaka1999,Yan marehemu mkapa akiwa namiaka4 tu kwenye urais wake....ukwel uliopo ni maisha ya Arusha kuwa galama tu kwakua kampun nyng zautalii zpo kule,lakn kiuzur nakimuonekano huwez lingnsha na Mwanza,kwauchafu Arusha chafu Sana kulko majiji yote,Arusha haina stend,Arusha kiwanja chandege wanantegemea KIA,eneo Arusha wanalojisfu nalo kwa uzur ninjiro tu.Jaman achen kufanansha Mwanza navtu vyakijinga.....Arusha akapambane na Dodoma,mbeya,Tanga.sio Mwanza ile ndio center yakwel kwa Africa masharik maana ndio sehemu pekee kuluka kwandege kwenye nchi yoyote ya Africa mashariki unatumia saa1.......Watu wachuga muwe mnakubali ndugu zangu sio kla jambo kutaka muonekane ninyiny tu
[/QUOTE
umetema madini sana 👏👏
Vya serikali ya awamu ya tano.....Kwa kutumia vigezo gani?
Basi sawavyote uvijuavyo
HahahahaHii ligi haiwezi kuisha kamwe.
Subiri hapo hapo ujionee