Mm niko chuga na ni mzawa nimeishi mwanza na mara ya mwisho kwenda ni dec2019, mwanza bana imeendelea kuliko chuga, chuga is still in the making, pia mwanza inamajengo machache marefu na mji ni mpana umetanuka karibia wilaya zote zina kimbizana sasa ukija hapa nyumbani bana arusha ni mji wa size ya kati tusiseme kuwa ni mdogo kwa kuzungukia bar, na kimajengo jepo si mengi ila magorofa ni mengi ikileta mandhari nzuri tukiachana na old arusha, pia ni wilaya moja tu yenye maendeleo makubwa yani arusha mjini mingine aibu lol tukija kwenye swala la population mwz inaizunguka chuga zaidi ya mara 3 kwa wingi wa watu pia fahamu kuwa wingi wa watu unachangia kukua kwa eneo husika kwaajili ya mzunguko mkubwa wa pesa, pia watu wa mwz wamezubaa huwezi wafananisha wa chuga, kingine jueni kuwa chuga ipo landlocked hakuna access ya ziwa ila mwz ni tofauti ina access na ziwa so jiji linaweza kufanya biasha na hudumaa mbali mbali na mikoa na nchi 4 jirani sasa arusha hapana na hapo ndo mwz inapokimbiza. Hakuna mkoa wowote tajwa hapo wenye wenye hali ya hewa Bomba kama chuga. Mwanza kuzuri sana na nahama huko very soon ila chuga ya Arusha patamu jamani kaubaridi 24/7, wazee dsm na mwz pazuri ila tukiacha maendeleo yani majengo na ukubwa wa miji, still sipapendelei chuga kwasababu naishi huku hapana ila ukweli arusha patamu sana yani ni kuzuri hukereki na hali mbaya ya hewa yani joto joto, au kupigwa jua la utosi yani mwz na dsm bana ni mateso sana. Ila kote panaishika nanpazuri ila arusha kidogo life gharama ila sio gharama ya kutisha saivi mambo yanalegea ila tofauti ingine vija wengi wa chuga tuna pesa wapambanaji sio wakuchagua kama kule na kule