Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Attachments

  • 7356ff69af2ce67dae8b87b5019a4880.jpg
    7356ff69af2ce67dae8b87b5019a4880.jpg
    53.4 KB · Views: 21
  • 140915356-aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania.jpg
    140915356-aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania.jpg
    185.7 KB · Views: 20
  • aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    196.1 KB · Views: 17
  • area-metropolitana-arusha (1).jpg
    area-metropolitana-arusha (1).jpg
    151.4 KB · Views: 20
Ni mikoa miwili tu inayochangia +10% kwenye GDP ya taifa ambayo ni Dar es salaam na Mwanza bila Geita Mkoa. Mikoa inayochangia +5% ni 1. Shinyanga 2. Mbeya 3. Iringa huyo Arusha na huo utalii bado level zake ni za akina Tanga na Igumamoyoo. Ahahahaaa

Serikali yenyewe inaona mradi kama wa SGR huwezi peleka Arusha ukaacha Mwanza
weka data bila porojo,Hizo data nataka nione ziko Geita separate na Mwanza separate,nione Shinyanga separate na simiyu separate,Iringa separate na Njombe separate..otherwise watabe ni Dar,Mbeya na Arusha wengine ndio mnafuata
 
Mm niko chuga na ni mzawa nimeishi mwanza na mara ya mwisho kwenda ni dec2019, mwanza bana imeendelea kuliko chuga, chuga is still in the making, pia mwanza inamajengo machache marefu na mji ni mpana umetanuka karibia wilaya zote zina kimbizana sasa ukija hapa nyumbani bana arusha ni mji wa size ya kati tusiseme kuwa ni mdogo kwa kuzungukia bar, na kimajengo jepo si mengi ila magorofa ni mengi ikileta mandhari nzuri tukiachana na old arusha, pia ni wilaya moja tu yenye maendeleo makubwa yani arusha mjini mingine aibu lol tukija kwenye swala la population mwz inaizunguka chuga zaidi ya mara 3 kwa wingi wa watu pia fahamu kuwa wingi wa watu unachangia kukua kwa eneo husika kwaajili ya mzunguko mkubwa wa pesa, pia watu wa mwz wamezubaa huwezi wafananisha wa chuga, kingine jueni kuwa chuga ipo landlocked hakuna access ya ziwa ila mwz ni tofauti ina access na ziwa so jiji linaweza kufanya biasha na hudumaa mbali mbali na mikoa na nchi 4 jirani sasa arusha hapana na hapo ndo mwz inapokimbiza. Hakuna mkoa wowote tajwa hapo wenye wenye hali ya hewa Bomba kama chuga. Mwanza kuzuri sana na nahama huko very soon ila chuga ya Arusha patamu jamani kaubaridi 24/7, wazee dsm na mwz pazuri ila tukiacha maendeleo yani majengo na ukubwa wa miji, still sipapendelei chuga kwasababu naishi huku hapana ila ukweli arusha patamu sana yani ni kuzuri hukereki na hali mbaya ya hewa yani joto joto, au kupigwa jua la utosi yani mwz na dsm bana ni mateso sana. Ila kote panaishika nanpazuri ila arusha kidogo life gharama ila sio gharama ya kutisha saivi mambo yanalegea ila tofauti ingine vija wengi wa chuga tuna pesa wapambanaji sio wakuchagua kama kule na kule
sas wewe umeandika nini..hueleweki
 
Acha porojo leta aerial images za Arusha as a whole, then kila mtu atajionea mwenyewe, Arusha bado sana kufika level za mwanza sema watu wa arusha nanyi mnapenda kujisifia sana kama wakenya vile
 

Attachments

  • 7356ff69af2ce67dae8b87b5019a4880.jpg
    7356ff69af2ce67dae8b87b5019a4880.jpg
    53.4 KB · Views: 18
  • 140915356-aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania.jpg
    140915356-aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania.jpg
    185.7 KB · Views: 18
  • aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    196.1 KB · Views: 19
  • area-metropolitana-arusha.jpg
    area-metropolitana-arusha.jpg
    151.4 KB · Views: 18
Hahaha true. Chuga ni chuga huwezi linganisha na mkoa wowote vile japo ni 3 na ikifika level za dsm kwa hali hii ya hewa what do you expect kwaiyo kwa mtanzania yeyote mjanja nunua hata kijiwanza chuga huu mji ni nxt level hata uzidiwe vp na dsm n mwz bado wote wanakaa chini huko ni kama jehanam kwenye swala la hali ya hewa embu vuta picha mwz au dsm zingekuwa na hali ya hewa kama chuga si ndo vita ingekuwepo huko. Ila arusha my friends, wake the **** up and buy land chuga hutokuja jutia.
Not only hali ya hewa tu but also kwa mambo mengi sana baada ya Dar ni Arusha..mshindani wa Dar kwenye majengo marefu,land price value na aspects nyingi kuanzia za academic,mandhari hadi viwanda ni Arusha.Hao wengine akina mwanza wanaongoza kwa idadi ya watu maskini na ushamba tuu
 
Nimekaa mikoa yote miwili ....


Mwili na roho yangu imeangua Arusha zaidi huwa nikifika Arusha nahisi kutua mzigo mzito wa dhambi huko nilikotoka. Nikikaa zangu chini ya safu za mlima meru huku nikibamizwa na kiubaridi napata Raha na kusahau shida zote.


Arusha Arusha ARUSHA nimekuita Mara tatu Arusha.
Arusha itika basi tunakuita
 
Sasa hapo kuna kipi cha kusema hata kwamba arusha inasogea kwa mwanza 👇👇
1969188_mwanza102.jpg
1969189_mwanza103.jpg
2276865_IMG_20200117_000419.jpg
photo_editor_ds_1593355382977.jpg
 
Not only hali ya hewa tu but also kwa mambo mengi sana baada ya Dar ni Arusha..mshindani wa Dar kwenye majengo marefu,land price value na aspects nyingi kuanzia za academic,mandhari hadi viwanda ni Arusha.Hao wengine akina mwanza wanaongoza kwa idadi ya watu maskini na ushamba tuu
leta twakimu zako
sio kubisha bisha tu
 
Watu wa mwanza mnastahili pole yaani jiji limepauka with poor dwarf buildings..tower ni 3 tu miaka nenda rudi yaani nssf hotel,nssf kitega uchumi baaasi,you guys mnakwama wapi? Hadi Dom inawakuta na mbeya ina catch up
Ko hata hizi ni dwarfs? 👇👇
1627173_Mwanza-City-1.jpg
 
Siku Mwanza ikifika hapa mni tag,Arusha City
 

Attachments

  • Ngorongoro-Conservation-Authority-Building-complex-Arusha-1024x682.jpg
    Ngorongoro-Conservation-Authority-Building-complex-Arusha-1024x682.jpg
    58.7 KB · Views: 17
  • SAM_0914.JPG
    SAM_0914.JPG
    22.8 KB · Views: 17
  • arusha-crown-hotel-standard-single-room-312_15561727841.jpg
    arusha-crown-hotel-standard-single-room-312_15561727841.jpg
    73 KB · Views: 19
  • DSC_1320.JPG
    DSC_1320.JPG
    59.7 KB · Views: 16
  • arusha-tanzania-january-24-2018-arusha-city-view-tanzania-R13DNB.jpg
    arusha-tanzania-january-24-2018-arusha-city-view-tanzania-R13DNB.jpg
    197.1 KB · Views: 17
  • _DSC3313.JPG
    _DSC3313.JPG
    46.1 KB · Views: 15
  • aerial-view-city-arusha-tanzania-143743508.jpg
    aerial-view-city-arusha-tanzania-143743508.jpg
    349.3 KB · Views: 17
  • aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    aerial-view-of-the-city-of-arusha-tanzania-T36J7H.jpg
    196.1 KB · Views: 15
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    72.7 KB · Views: 14

Attachments

  • 2275363_IMG-20200117-WA0020.jpeg
    2275363_IMG-20200117-WA0020.jpeg
    39.3 KB · Views: 16
  • 39870086053_d7a352f386_z.jpg
    39870086053_d7a352f386_z.jpg
    35.2 KB · Views: 17
  • b535pan-african-postal-union-papu-arusha.jpg
    b535pan-african-postal-union-papu-arusha.jpg
    20.7 KB · Views: 17
  • FOR SIGN BOARD-ISSUED EARLIER.jpg
    FOR SIGN BOARD-ISSUED EARLIER.jpg
    191.2 KB · Views: 14
  • dr0mrEO.jpg
    dr0mrEO.jpg
    145.9 KB · Views: 14
  • EOOSlA0WkAAgIJ4.jpg
    EOOSlA0WkAAgIJ4.jpg
    156.3 KB · Views: 15
Hivi hili swala la kulinganisha Mwanza na Arusha lilitoka wapi!? Na ukizingatia kumekuwa na upinzani mkubwa kati ya watu wa Arusha na Mwanza kila mmoja akitetea mji wake

Mimi siishi katika miji hiyo lakini yote nimeishi kwa zaidi ya miaka 4 na currently niko Arusha na nilikuwa Mwanza.. Nisemr tu.. Kwanza WATU WA ARUSHA PAMBANENI NA HILI VUMBI UTAFIKIRI MJI NI ZIZI LA NG'OMBE.. Vumbi linatimka utafikiri wanaoishi hapa ni mbuzi.. Hata huku njiro mnakojivunia Vumbi linatibuka kama kuna gulio.. 2..hivi vi dala dala kama viberity ni ujinga mtupu jiji haliwez kuwa na public transport za hovyo namna hii.. Mtu mrefu hawez hata kupanda.. Lakini tumeiona Arusha ilivyokosa hadhi vaada ya corona mbwembwe zote zimeisha hakuna pesa kila mtu analia..Watu wa Hapa jivunieni MENO yenye kutu..

Ntarudi kusema kwa ajili ya Mwanza
 
Arusha ni mji mgumu sana kama haujawa stable kiuchumi hasa kwa wageni sababu zipo nyingi ila miongoni ni;
1. Mzunguko wa buashara moja kubwa Utalii
2. Mfumo wa maisha wa wenyeji m.f suala la nguo wanavaa za mtumba. Hawapakii boda boda kama usafiri
3. Mzunguko wa uchumi imara umetawaliwa na wachache

Zipo faida kama ukiwa kwenye ring ya uchumi wa Arusha ila ni kwa tabu sana kama ndio unaanza.

Kwenye upande wa makazi yapo bei nafuu kodi, nauli, vyakula na hali ya hewa safi.
 
Tuweke na proposed? au tuache tu?
View attachment 1494178
The construction of building is expected to cost 59billion. Bugando Heart Institute

View attachment 1494189
Executive Hostel at Bank of Tanzania (BoT)

View attachment 1494193

Junior Doctors Houses For Bugando Hospital- Mwanza, Tanzania

View attachment 1494195

villas apartments Luchelele in Mwanza
View attachment 1494196
View attachment 1494197
Nyegezi Bus terminal in Mwanza

View attachment 1494198
View attachment 1494199

Nyamhongolo Bus terminal in Ilemela - Mwanza
unaweka renders afu unachekelea? picha zote za majengo hapo juu ziko under construction..Arusha is very hot kwenye ujenzi
 
Back
Top Bottom