ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
sema kwa maskini kama wa huko mwanza hawawezi mudu maisha na ndio hoja hapa kwamba mwanza inaongoza kwa maskini na sio kingine chochoteArusha ni mji mgumu sana kama haujawa stable kiuchumi hasa kwa wageni sababu zipo nyingi ila miongoni ni;
1. Mzunguko wa buashara moja kubwa Utalii
2. Mfumo wa maisha wa wenyeji m.f suala la nguo wanavaa za mtumba. Hawapakii boda boda kama usafiri
3. Mzunguko wa uchumi imara umetawaliwa na wachache
Zipo faida kama ukiwa kwenye ring ya uchumi wa Arusha ila ni kwa tabu sana kama ndio unaanza.
Kwenye upande wa makazi yapo bei nafuu kodi, nauli, vyakula na hali ya hewa safi.