kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,626
A TO Z mkuu kiwanda cha nguo wana product nyingi kuna mashamba ya maua makubwa sana wana exportArusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
A TO Z mkuu kiwanda cha nguo wana product nyingi kuna mashamba ya maua makubwa sana wana exportArusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Mkuu hebu kuwa serious kidogoIla kwa revenue Arusha imeipita mwanza
Sahizi Arusha wanatubu sana mie pia niko Moshi hamna ishu kabisa. Hela imebakia kwenye usafirishaji tu.Nimependa moja ya comment hapo juu ina weza kuwa na mantiki flani.
Ukweli Arusha bila watalii maisha hakuna na mji unadoda sana, unabaki kupishana na wadada wauza viatu, soksi na kinamama wanatembeza mikungu ya ndizi, vinginevyo ukutane na vijana wamebeba vikapu pembeni kuna kibibi cha kikoloni wanaongozana.
Mwanza hakuna msimu wa kutafuta pesa mvua, joto, masika au kimbunga nk, vinginevyo maisha hayana mwenyewe wala kupata hajapangiwa mtu fulani.
Umemaliza mjadala.
Hapo kwenye usafirishaji labda wa majini tuu lakini anga na ardhini Arusha ni kiongozi nje ya Dar maana uwanja wa Kia uko una sevu arusha zaidi licha ya kuwa Hai kilimanjaro,pili kampuni za usafirishaji za malori ukiacha Dar Arusha inafuata,media industry labda Star tv tuu/saharaWewe jamaa lake zone walikufanyia nini 😂😂
Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi
2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),
3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar
Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
rock man acha porojo mkuu,yaani stering alishindwa kwenye hiyo riwaya na ndio rock city ilivyoshindwa na ArushaKasome vizuri halafu urudi tena
Kumbuka hicho kiwanda cha A to Z kina lishwa na malighafi kutoka Mwanza,especially PambaA TO Z mkuu kiwanda cha nguo wana product nyingi kuna mashamba ya maua makubwa sana wana export
SureJiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili
1.Ilemela
2.Nyamagana
Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?
Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!!
Acheni kuifananisha Mwanza
Majiji yote mawili nimeishiHapo kwenye usafirishaji labda wa majini tuu lakini anga na ardhini Arusha ni kiongozi nje ya Dar maana uwanja wa Kia uko una sevu arusha zaidi licha ya kuwa Hai kilimanjaro,pili kampuni za usafirishaji za malori ukiacha Dar Arusha inafuata,media industry labda Star tv tuu/sahara
ndo nakwambia wewe ni muongo ,wait nitakuwekea takwimu za sensaUnajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
Kabisa mkuu,sema hao machalii wa r bangi zinawasumbuaMajiji yote mawili nimeishi
Ninaposema mwanza iko juu namaanisha.
Jiji la mwanza lina watu million 2+
Jiji la Arusha lina watu laki 5+
Alafu kuna mpuuzi mmoja anakuja kusema Arusha ni bora kuliko Mwanza
Ukitaka biashara ya real estates,huduma na taasisi na shopping complex bora ArushaArusha ni jiji la Kitalii na Biashara kubwa sana Arusha inaendana na utaliu, ndo maana ukitoa Dar Arusha ndo Mji wenye hoteli nyingi zenye hadhikubwa sana.
Ukiweleza Arusha, maana yake wekeza kwenye biashara zinazo endana na tourism.
Ila mbali na utalii pia kuna swala la Office kama za EAC na UN, hii pia ni furusa na pia kina swala la kilimo.
Pia arusha ukitoa watalii na office za EAC na UN pia Arusha kuna Foreigners wengi sana, Arusha inaweza kuwa ndo mji wenye kukaliwa na wazungu wengi sana.
Hivyo zote hizo ni furusa kwa anaye wekeza Arusha.
Kwa mwanza kuna biashara mchanganyiko sana, ingawa biashara kuu ikiwa inategemea sana ziwa victoria, na madini kwa kiasi fulani na pia kilimo.
Kwa swala viwanda bado sana kwa miji yote inaviwanda vya kawaida tu hakuna vi
mchanganyiko hasa zikitegemea vituanda vya kutisha sana ambavyo vinaweza kuwa na impact kubwa.
Mwanza pia ina kuwa favoured na Populations kubwa sana ukilinganisha na Arusha.Hivyo ukiwekeza kwa kuangalia population basi Mwanza.Arusha ila pia wao purchasing power iko juu sana ni moja ya miji ambayo purchasing power iko juu mno.
Ukiwekeza kutarget lower class basi Mwanza ni kuzuri sana kwa sababu ya ile population iliopo Mwanza.
Hivyo kokote mtu atakapo wekeza atafanikiwa tu basing na anacho target, biashara sio swala la Mwanza wala Arusha hata ukiwekeza Kigoma utafanikiwa, kikubwa ni malengo yako ni yapi hasa? Unatarget nini?
Nimekupa takwimu za CAG alizozitoa April 2020 hutaki kuziamin Nani awe serious
Sasa revenue collection si zina vary kipindi na kipindi nshakueleza ila una kichwa kigumu 🤣 🤣🤣.Ni kama sahivi serikali haitegemei revenue kubwa kutoka Arusha kutokana na kudorora kwa utalii na hata projection za ukusanyaji mtawekewa ndogo.Halafu tambua revenue za kipindi hiki zinatofautiana na kipindi kile hivyo kuna muda utaongoza na mwingine utaongozwa.Kwan Dom upande wa revenue si kakaa juu ya Mwanza mara nyingi tu.Angalia revenue ndo itakuokupa picha halisi, Arusha ina watu wachache Zaid ya mwanza Ila Ina shughuli nyingi za kibiashara kuliko mwanza, ndo maana imeipita mwanza kwenye revenue
Alafu still Kuna watu wanabisha hao ndo watanzaniaUmemaliza mjadala.