Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Arusha kwa wavyta bhangi uta fananisha na JIJI kubwa kama mwanza
 
Wasukuma bhana, yani ushamba wao wanaleta mpaka hukiu jf?

Huoni jinsi JIWE anavyotumia nguvu kubwa kupeleka watalii huko VURIGI mpaka walamba nyayo wameiita hiyo mbuga jina la kawilaya ka chato badala jina la mkoa lakini nani akangalie wanyama wa kuhamishiwa, si boa aenda TANZANITE ZOO , au meserani?
Watu wanataka kukuta wanyama kwenye makazi yao ya asili, Arusha na Kilimanjaro zitabaki kuwa uu.
Si mtuletee za huo mji wenu[emoji5][emoji3][emoji3] mbona mnakwepakwepa sana...tupia hata aerials mbili tu za jiji la Arusha nami ntatupia za kwetu.....Obvious kwenye kuongea mmetushinda mbali mno..
 
Very true bro
Mi mkazi wa arusha, lakini napapenda mwanza kuliko hata dar. Mara ya kwanza kufika mwanza nilipainjoy sana kuliko mji wowote ule. Mwz ni pana mji hauko sehem moja km arusha au hata Nairobi mnasongamana mahali moja. Mwz unaweza lala hoteli nzuri tu hata kwa buku 35.
 
Tunahitaji kupata maoni mazuri yenye mantiki yatakayotusaidia sote. Mengi ya maoni yatakayotolewa yawe na shahidi za kitafiti zaidi.

Tuepuke hasira, matusi na kejeli katika mjadala huu. Tusitumie hisia kuliko facts mbadala.
 
Back
Top Bottom