Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

rock city[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
8cbea9a215a9c2d28cdf47a2195a06b3.jpg
 
hio report niya mwaka 2013 not 2017 watch out part two mwanza vs Seoul [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
4c11a76bddc548db51c2a310923c9e76.jpg


[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
5edcd630ef26cf92ef7c4c725ad42f57.jpg
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji124] [emoji124]
 
ATAKAE ENDELEA KUBISHA BASI HOSPITAL INAMUHUSU A-TOWN OOOOYEEEEEEEE[emoji603] [emoji603]
 
Kama unataka kushangaa hotel nzuri na wazungu na hali ya hewa arusha safi kama unataka kuishi na wewe ni mtu wa kati ndo wapambana na maisha nenda mwanza achana na arusha kabisa
Umeongea point maana hapa wengi wanakuja kuringishia magorofa na wazungu watalii wakati mtoa mada anaulizia penye unafuu wa kuanza maisha mapya

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Unapo ilinganisha Mwanza na Arusha lazma ulinganishe majibu yako katika category ipi ndo utoe jibu.

Security : mwanza is more safe kuliko arusha every where ni peace na hakuna mambo ya ajabu ajabu kama Arusha,vibaka ni wachache na inategemea na mahal tofaut na arusha vibaka everywhere.

Opportunities: mwanza kuna fursa nyingi kiuchumi kuliko Arusha kwa sababu kuna watu weng sana karbu mara mbili kama sio tatu ya watu wa Arusha.

kiuchumi : mwanza ipo juu kiuchumi na uzalishaji kuliko Arusha na ni moja kati ya majiji yanayokua kwa kasi zaidi barani afrika.

Utalii. Kwa upande wa utalii Arusha iko juu kuliko mwanza hlo halina ubishi na kuna mahotel makubwa nyinginna nzuri kuliko mwanza.

Afya na chakula. Mwanza kunapatikana vyakula vya kila aina fresha na kwa bei nafuu sana so life is cheap than Arusha, pia katika huduma za kiafya zipo but quality are few na zilizo quality are mo expensive .

Miundombinu na makazi. Mwanza miundombinu ni mizur na ni rahisi kufika mjn uwe unakaa na kuishi popote wastan wa dakika30 unakua mjn hakuna jam za ajabu ajabu,pia makazi n bei nzur mwanza ni rahisi na unaweza kupata nyumba nzima bila mawazo ukiwa na 3m unapata nyumba vyumba v3 self tena wk get bila mawazo tena mitaa executive.
zaidi mwanza kwenda dar nw ni rahisi ndege zipo from morng till night tena cheap tu hata uchekewe kukata tiketi kwa wastan wa lak na nusu kwenda laki mbili unaenda Dar.

Kwa kutazama hayo naona mwanZa ni Bora kuliko Arusha, labda kama ww ni mtu wa utalii Arusha is Bettwr than mwanza.
Kati ya watu wenye akili nyingi na Fact za maana. [emoji106] [emoji106]

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Haya ni majiji makubwa Tanzania baada ya Dar es Salaam.

Kati ya Haya majiji:
-lipi lina uzuri zaidi?
-lipi lina fursa nyingi za uchumi?
-lipi lina wakazi wengi?
-lipi linavutia watalii?
-lipi lina starehe na maeneo ya burudani?
-lipi lina gharama nafuu kwa kuishi?
-lipi lina wasomi wengi?

Lipi unalikubali zaidi???
 
hahaha arusha uzuri and all....wa mwanza atutajie ambacho hatuna tumtajie .....sisi huku hadi ma la cuisine tunakula
 
Haya ni majiji makubwa Tanzania baada ya Dar es Salaam.

Kati ya Haya majiji:
-lipi lina uzuri zaidi?
-lipi lina fursa nyingi za uchumi?
-lipi lina wakazi wengi?
-lipi linavutia watalii?
-lipi lina starehe na maeneo ya burudani?
-lipi lina gharama nafuu kwa kuishi?
-lipi lina wasomi wengi?

Lipi unalikubali zaidi???

  • Arusha lina uzuri zaidi ya Mwanza
  • Mwanza kuna fursa nyingi sana za Kiuchumi kuliko Arusha
  • Mwanza kuna wakazi wengi kuliko Arusha kwani hata tu idadi ya Wilaya zake ni jibu tosha
  • Arusha linavutia sana Kiutalii kuliko Mwanza kwani hata idadi tu ya Watalii wanaokwenda huko ni jibu tosha
  • Arusha kuna maeneo mengi ya Starehe na Burudani kuliko Mwanza japo ' Makahaba ' wao wengi wanajiuza huku wakiwa na Visu, Mapanga na Masime mbavuni kitu ambacho kwa Mwanza huwezi kukikuta ambapo ' Makahaba ' wao unaweza hata ' ukawakopa ' tu ' Mbunye ' na maisha yakaendelea. Hakuna Mkoa ambao ukinipeleka huwa nakuwa ' mpole ' kama wa Arusha kwani miaka minne nyuma nilitaka niwafanyie ' ujanja ' wangu wa Dar es Salaam na hakika nilikiona cha moto na bila ' uzoefu ' wangenigawana. Shikamooni wana Arusha.
  • Mwanza kuna gharama nafuu ya kuishi kuliko Arusha
  • Mwanza kuna Wasomi wengi lakini Malofa ila Arusha hakuna Wasomi wengi lakini kuna Wajanja wengi wa Kusaka Pesa

Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
 
Jamani Arusha si lilishashindanishwaga na MWANZA na ARUSHA lilishinda kwa kila nyanja.
 
Ngoja niwahi siti ya mbele kabisa niwahi kufika
 
Back
Top Bottom